Kumbe ndiye huyu kilaza mchumia tumbo aliyedai marehemu Mwandishi Daud Mwangosi alipewa bomu akawalipue polisi!Salum Ally Hapi said:Kwa bahati mbaya akadondoka, bomu likamlipukia kabla hajalitoa...HUENDA ALITUMIWA, AKAWALIPUE POLISI
- Marehemu alikuwa anasoma kitabu cha maadili ya waandishi kabla ya tukio jambo ambalo si kawaida.
- Alionekana kuwa na wasiwasi na mgogoro wa nafsi kabla ya kwenda katika tukio.
- Bila kujali vurugu wala bila hofu alikuwa anaelekea mahali polisi walipokusanyika.
- Alipovamia kundi la polisi kabla hajafanya chochote polisi wakamuwahi wakawa wanamzuia.
- Akawa analazimisha kwenda alipo mkuu wa kituo wa polisi OCS.
- Wakati polisi wanakabiliana nae akaangukia tumbo.
- Mlipuko mkubwa ukasikika na kufumua utumbo na kujeruhi polisi kadhaa akiwemo mkuu wao.
- Huenda alikuwa na bomu aliloficha ndani ya shati.
- Hakudhamiria kujiua, huenda alitumwa kulidondosha katikati ya polisi.
Pamoja na kuwa ni mtumishi wa magamba, kuna kitu kimenivutia kwenye historia yake.
Jamaa alitoka shule ya Tech O-level, akasoma HKL Advance including History ambayo hakuwahi soma O level lakini bado akasukumia mabanda mawili na B moja, yaani div 1 point 4. Basi jamaa ni mkali sana!
Mkuu nimekupata vema, ila kambi ya Sitta yupo Paul Makonda, Kambi ya Membe yupo huyu Salum Ally Hapi, sasa embu jaribu kutumwagia mgombea mwingine ambaye ni kambi ya Lowassa.Hawezi kushinda kwani mpaka sasa uchaguzi level za mikoa mikoa yote walioshnda kambi ya lowasa kasoro dar,pwani na kagera ndo watu wa membe wameshnda,membe mpaka home kwale lindi kamanda wa lowasa kashnd.
Sikonge,
Mchungaji mwenyewe povu linamtoka akisikia Mwakalebela 2015 ndo mwisho wake kuitwa Mheshimiwa Mark my word
Kwa ukumbusho tu, haya yalikuwa ndiyo maoni ya Salum Ally Hapi kuhusu kifo cho Mwangosi;
Kumbe ndiye huyu kilaza mchumia tumbo aliyedai marehemu Mwandishi Daud Mwangosi alipewa bomu akawalipue polisi!
Bila shaka yoyote kilaza kama huyo, hifadhi yake lazime iwe huko huko CCM! Nazidi kuichukia CCM, kiwanda cha kuzalisha mafisadi!
Salum Ally Hapi
MKT WA CCM (UDSM), MJUMBE WA BARAZA KUU LA SHIRIKISHO LA CCM MKOA WA DSM!
Sisi vijana wenzako ndio uliotufuata kwa kutushauri kuwania nafasi hii na nyota yako ya uongozi imejionyesha mapema nakumbuka tangu ulipokuwa pale chekechea lutheran mnamo miaka ya 1993 nzega ulichaguliwa kuwa kiongozi na ulidumu kuwa kiongozi kwakila hatua ulioifikia mpaka Udsm.hiv kama mtu mbaya, kweli unaweza kukubalika na wenzako kwa kiasi hiki tena ktk hatua hizi zote? Jaman Hapi ni mtoto wa maskini mwenzetu na tena mama yake mpendwa ni KARANI WA MANISPAA, anasimama mwenyewe yeye kama yeye tunapenda kuwaambia wapenda maendeleo ya taifa letu, tuachane na propaganda za makundi na wasiopenda maendeleo.
Ana akili sana km alisoma masomo ya sayansi akahama kabisa na kwenda kufaulu arts kwa div one kali kichwa kizima kile.hayo mengine ni majungu tu