Wasifu Samwel Kiboye M/kiti wa CCM mkoa wa Mara

kindikwili

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
1,862
2,871
Aisee kama kuna mtu anamjua huyu jamaa kwa undani hebu atuwekee hapa wasifu wake, hasa elimu yake na ubobevu wake kwenye siasa. Nimeona clip yake moja akisema vyuma vimelainika na kwamba ni vinyororo kama urojo.

Ameonya watumishi wanaosema vyuma vimekaza atawasemea kwa katibu tawala wa Mara ili watimuliwe kazini maana wasomi ni wengi.

Lakini pia leo nimesikia kwenye radio Magic EFM kwamba kumuonya mkuu wa wilaya tarime bwana Luoga kwamba hayuko tayari kufanya naye kazi kwasababu ananyanyasa raia na kufanya CCM kuwa na wakati mugumu wakati wa kampeni huko Tarime.

Sasa kama unamjua vizuri hebu tupe wasifu wake.
 
Jamaa pale hana darasa hata moja kama ndugu yake lakairo hahahahaha!ndo maana me huwa nawapenda watu wa tarime hawapedagi ujinga unaoitwa ccm ila tatizo lipo kwa ndugu zao jaluo wao ukiwachinjia ng'ombe na kuwawekea mziki hawaangalii wanatoa kura tu

Hahahaaa aisee hao watu wanapenda sana nyama na miziki ya kikenya, halmashauri nzima ya RORYA madiwani na mbunge wao karibia wote wana elimu ya kati ya drs la nne na la saba . kama kuna mwenye elimu ya form six basi ni moja au wawili. Nimeishi sana Mara na huko rorya nimeishi sana maeno ya shirati, utegi, ikoma na baraki tulikuwa tunacheza sana disko vumbi hasa kule Ikoma hahahaaa
 
Totoz za kijaluo hazinaga noma. Zamani lakini, sijui siku hizi. Nazungumzia 1985-1988 nilipokuwa pande hizo.
 
Hahahaaa aisee hao watu wanapenda sana nyama na miziki ya kikenya, halmashauri nzima ya RORYA madiwani na mbunge wao karibia wote wana elimu ya kati ya drs la nne na la saba . kama kuna mwenye elimu ya form six basi ni moja au wawili. Nimeishi sana Mara na huko rorya nimeishi sana maeno ya shirati, utegi, ikoma na baraki tulikuwa tunacheza sana disko vumbi hasa kule Ikoma hahahaaa
Hakuna miziki ya kikenya,au majina ya kikenya ,tuna majina ya kijaluo,wajaluo tuna cut across east at central Africa mkuu.
Wajaluo huwa hatuna njaa na tuna piga kura as a block Kama kijana wetu anagombea basi tambua wajaluo wenzake watapata kura kijana wao ,Urais watampa mgombea urais no matter which part he contests from.
 
Sorry mkuu kwa kusema wanamuziki wa kenya, nadhani ningesema wanamuziki wa kijaluo wanaotokea kenya .
 
Mkuu huko ndio kwetu ,hao wakina kiboye na Lameck wanatumia tu ubabe ,hawana lolote .
Wajaluo tulio piga umande tumekaa kimya,kuhusu totoz kijaluo wako poa sana..

Aisee nawewe ni Omera wa wapi? kuna nyako moja wa shirati nilikuwa napeta naye kabla sijarudi kwetu masasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom