Hapo alitoka Mwanza kama RPC akapelekwa Makao makuu Kuwa Mkuu wa Operesheni za jeshi la Polisi ...Duh> Hebu tuleteeni hii CV basi. Mi nakumbuka aliwahi kuwa mkuu wa kitengo cha operesheni. Nilianza kumsikia kwenye operesheni kimbunga, ya kukamata wahamiaji haramu. Kuna watu waliita operesheni Siro
Kuna mtu alikuwa anahoji PhD ya Dikteta Uchwara "DU" amepotezwa hadi kesho. Na mwingine alisema bombadier imekamatwa hivi sasa tunauguza. Sasa huyo unayemchokonoa ndo wakandamizaji wenyewe wa "DU". Unataka uongezeke kwenye orodha?Je, kamanda siro ana elimu ya level gani?
Na bado!PHD of forensics!Aiseeh !
Namaanisha kwamba napenda kuja kuwa IGP , NApenda alivyoKuna mtu alikuwa anahoji PhD ya Dikteta Uchwara "DU" amepotezwa hadi kesho. Na mwingine alisema bombadier imekamatwa hivi sasa tunauguza. Sasa huyo unayemchokonoa ndo wakandamizaji wenyewe wa "DU". Unataka uongezeke kwenye orodha?
Na ukishaijua ili uifanyie nini huna kazi ya kufanya utafutiwe! Onyo acha kutaka kujua usivyo na kazinavyo sawa!Je, kamanda siro ana elimu ya level gani?
Asante mkuu. Barikiwa1981 to 1984
He went Uru catholic seminary o level
1984 to 1987 high school in chemistry, Biology and Geograph at Tosamaganga secondary
1989 he joined UDSm where he studied Education
He joined Policeforce in the early ninetees