Mdanganywa
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 620
- 343
Hivi hakuna uwezekano wa kutafuta uhalali wa kisheria kwa kumshitaki lubuva kabla ya uchaguzi ili kuepusha vurugu ?
Kama sheria inaongelea mita mia mbili , basi tutaiheshimu sheria na kukaa mita mia mbili
Hahahaaa mkuu, ur just thinking loud??
Hilo la kuondoka wajue tumekataa kama ni kuua waue tu lakini bao la mkono hapana
DA wewe jamaa una akili sana, umeongea oja na ushahidi,safi sana ni bahati sana kuwa na watu kama wewe,hapa nakuhakikishia kuwa goli la mkono linatafutiwa mazingira.tusubiri.
Mungu atusaidie tu jamani maana naona vita inanukia.
Kikwete anatoa tamko kwani yeye ni nani katika NEC?
Wanaohusika na uchaguzi si NEC?
Vita inanukia? Labda kwenye keyboard yako.
Tz hakutakuwa vita kwa sababu ya uchaguzi!
mimi nasema nitakaa mita mia mbili away, kama nikuniua acha waniua lakini damu yangu itakuwa imekomboa kizazi changu. i'm sick n tired of injustice in this country
Kwa siku mbili au tatu zilizopita nimekuwa nikifuatilia kwenye vyombo vya habari juu ya rai ya NEC kuwataka watu kuondoka kwenye vituo vya kupigia kura mara baada ya kupiga kura.
Katika jamii ya watu wastaarabu na wanaotendeana haki hivyo ndo inavyotakiwa kuwa. Katika makala yake Generali Ulimwengu kama wiki mbili zimepita alisema katika chaguzi za nchi za Afrika hatujafikia kiwango cha ustaarabu cha kutendeana haki.
Katika kudhihirisha hilo katika uchaguzi uliopita kama watu wangepiga kura wakarudi nyumbani leo hii mbunge wa Arusha mjini Lema asingekuwa mbunge. Wenje Nyamagana asingekuwa mbunge, Nasari asingekuwa mbunge. Wasimamizi walikuwa wakipewa presha watangaze watu walioshindwa kuwa washindi, lkn kwa usimamizi wa wananchi waliobaki vituoni ushindi ulilindwa. Kwa mfano Arumeru thermosi zilikuwa zinaingizwa na kura lkn wananchi walizuia.
Isitoshe CCM ni chama bilionea uwezekano wa kuwahonga wasimamizi ni mkubwa sana. Kwa hiyo NEC inapotoa matamko yake ijue inafanya kazi ktk jamii ambayo kutendeana haki bado kuko katika kiwango cha chini, kwa hiyo watwambie ni kwa namna gani tunaweza kuzuia hilo.
Nawakilisha wanajamii