elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
Wanatafuta kazi Mmoja za Bar, mwingine mgahawa, hotel au duka na wa mwisho kazi za ndani kwa mawasiliano zaidi 0658-154647 Wote wapo Dodoma
19 DodomaHuyo wa kazi za ndani ana umri gani? Na ni mwenyeji wa wapi?
Hadi kwenye mambo ya msingi unawaza kuchekesha chekeshaWapeleke Canada kuna nafasi kibao za kazi huko .
Bongo hamna nafasi za kazi.
Kumbe hauko serious?Hadi kwenye mambo ya msingi unawaza kuchekesha chekesha
