chanawaleti
Senior Member
- Jul 4, 2016
- 176
- 209
Uko dunia gani wewe nani anayewaza kuolewa kwa sasa kila mtu yupo bize na maisha yake.wapo wanaume siotaka kuona wanahitaji tu wapete watoto na pia wapo wanawake wasiotaka kuolewa wanahitaji tu watoto
Acha uongoUko dunia gani wewe nani anayewaza kuolewa kwa sasa kila mtu yupo bize na maisha yake.wapo wanaume siotaka kuona wanahitaji tu wapete watoto na pia wapo wanawake wasiotaka kuolewa wanahitaji tu watoto
MKWELI WEWE ila kumbuka mfumo wa maisha ya sasa nitofauti na kipindi cha nyuma ambacho mwanamke akimaliza tu shule anasubiri kuolewa tu.leo wanawake wakimaliza shule wanatafuta kwanza kaziAcha uongo