sio kujitetea wanaume ndo chanzo cha matatizo katika swala la mahusiano.hata mpendwaje lakini kuwa na wanawake wengine ndo kawaida.toka nimeumizwa simwamini mwanaume yeyote yule maana naona wale wale kasoro majina tu.

Usigenaralize hivyo kwani ukiungua wakati unapika ndo inamaana siku zote utakuwa unaungua. Ukitambua kuwa hakuna binadamu aliekamilika hautabaki na mtazamo huo
Pole kwako au mtu wako wa karibu aliekumbwa na hili. Lakini ni vyema ungefunguka zaidi maana hoja yako imekosa nyama na uzito kama zile wa kujumuisha tabia za makabila fulani fulani. Kulitokea nini hadi kikakufanya ufikie hitimisho hilo?