Waziir Hamad
Senior Member
- Jan 19, 2015
- 102
- 25
atupishe huko kama ndo lugha zenyewe hizo kwanini wasimletee nyodo
''kabla sijakupa mambo...si ulileta nyodo''da jo...Habari zenu wadau.natumai hamjambo.
Hivi ni kwanini inatokea unajikuta mtu uko against your mind,unapingana na akili yako kivitendo,labda una mpango kwamba once ukipata nafasi umu aproach msichana fulani halafu inakutoka kabisa.
Msichana labda ushampa swaggz kwamba una shida nae,halafu anakuja kukuona huna mpango nae tena,hata nisipokuwa care vya kutosha najikuta hata girlfriend nilienae nampuuza,ni ubize wangu au? naombeni msaada najua nipo na great thinkers.
hivi humu kuna mademu kumbe!!!!
mmh kuku kapanda baiskeli...
mmh kuku kapanda baiskeli...