wasi wasi wangu!

Dont fool yourself,She will find someone else to replace you!Wenye mapenzi ya kweli ni 1 kati ya 100 na ndo wanaoumizwa siku zote!!!
haujashaur apo bado,,ata nkijiongeza cambulii ushauri,,
 

Kwa trend ya huyo hubby wako? Kwa hiyo huyo ni hubby wako? Au mnaandikaga vitu ambavyo hata hamjui maana yake.
 
yani we ni mwanaume na mpenzi wako anaitwa "hubby" kwani nae ni mwanaume?
 
Andika kwa mpangilio mzuri uzi wako usiandike kama unaandaa mashairi ya RAP

 
pole mweeee , wapo wadau walienda huko nje unaposema kusoma wamerudi wanadai hata wakuwakonyeza hawapo kila mtu na time zako haha ha ila si ulisha mmega kisela ? haina mbaya sana
 
Mmmmmmmm ni gf, at the same time ni hubby! Kwan ni jinsia gani uyo gf&hubby
 
pole mweeee , wapo wadau walienda huko nje unaposema kusoma wamerudi wanadai hata wakuwakonyeza hawapo kila mtu na time zako haha ha ila si ulisha mmega kisela ? haina mbaya sana
tehe teheee,,,
 
acha uoga kama ilipangwa kuwa wako atakuwa wako tu mbona kuna wengi tu wanaachana hapa hapa hata mmojawapo hajaenda hata Zenji, tuwapende sana wake zetu lakini tuishi nao kwa makini hilo ndilo la msingi.
 
Hubby may refer to: A woman's
partner who has the potential of
becoming her future husband.

nahisi umeliweka mahala pasipo stahili ndugu muanzisha mada
 

we jamaa juzi tu hapa umekuja na uzi unalialia eti demu wako yupo chuo sijui mikoa tofauti na mawasiliano yamepungua ati ukimuuliza masomo yamembana kama tu hapa ndo hivyo,huko unapohisi ataenda si ndo majanga!kwanza hizi stori zako ni zakutunga na kuchezea akili za watu
 
Kwa hizi threads zako inaonekana umeshkwa pabaya umebak kutapa tapa tu, pia inaonekana unajiweka sana kwa binti emotionaly, physicaly na hata economicaly...huyu demu atakuliza tu, read my words.
 
ni vema ungetumia kiswahili fasaha, kwa uandishi huu utamegewa hata hapa hapa bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…