Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 4,278
- 7,951
Warranty?Easy,cheap and affordableView attachment 2173151
Shida hizi mashine za mtumba kutoka nchi za Asia ni changamoto kujua control zake kutokana na lugha. Huwezi hata kugoogle maandhisi yake.Je kufua kwako ni kero basi rahisisha maisha kwa kuokoa muda wa kufua ishi kidjitali kwa kutumia mashine ya kufulia
Brand😛anasonic
Model Name: NA-F70G6
Condition: used
Color:Silver
Washing Method:8 Programs
Washing Capacity:7kg
Function Type:
Fully Automatic Top Load
DIMENSIONS
Weight:31 kg
Depth:57.1 cm
Height:96.9 cm
Width:52.5 cm
Price:300,000/=
Tunapatikana Tabata Dar es salaam
Tunafanya delivery popote
Contacts:0764108259View attachment 2173147
Used Ina warranty mkuu? ,Warranty?
Buy at your own risk sio? Wakati brand new 500,000 na warranty miezi 12 kupanga Ni kuchaguaUsed Ina warranty mkuu? ,
Nilishakataa kununua kitu used,hasara ni kubwa kuliko faidaBuy at your own risk sio? Wakati brand new 500,000 na warranty miezi 12 kupanga Ni kuchagua
Point. Used tena Bongo! Kichomi!Nilishakataa kununua kitu used,hasara ni kubwa kuliko faida
Hiyo ina English language control ni simple tuShida hizi mashine za mtumba kutoka nchi za Asia ni changamoto kujua control zake kutokana na lugha. Huwezi hata kugoogle maandhisi yake.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Imetumika nje sio bongoPoint. Used tena Bongo! Kichomi!
kuna google translate ya picha unapiga picha kwa simu then inakupa tafsiri kwa lugha utakayoShida hizi mashine za mtumba kutoka nchi za Asia ni changamoto kujua control zake kutokana na lugha. Huwezi hata kugoogle maandhisi yake.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app