S shirowise Member Joined Jul 24, 2007 Posts 26 Reaction score 21 Aug 25, 2010 #1 Jamani napenda kuuliza hawa jamaa wa TIGO mbona hatangazi kwenye magazeti washindi wa zawadi mbalimbali za JIKOKI? Jana walisema watamtangaza Mshindi wa Mil 100 mbona sijaona kwenye magazeti?
Jamani napenda kuuliza hawa jamaa wa TIGO mbona hatangazi kwenye magazeti washindi wa zawadi mbalimbali za JIKOKI? Jana walisema watamtangaza Mshindi wa Mil 100 mbona sijaona kwenye magazeti?