G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 9,103 Reaction score 15,609 Jun 9, 2023 #21 Tatizo sugu rimoti iko msoga
Equitable JF-Expert Member Joined Dec 24, 2021 Posts 2,124 Reaction score 5,698 Jun 9, 2023 #22 Hivi Dr. Philip Mpango analijua hili? Kama Dr. Analijua basi hakuna haja ya phd. Tukomee form four tu kujua kuweka saini.
Hivi Dr. Philip Mpango analijua hili? Kama Dr. Analijua basi hakuna haja ya phd. Tukomee form four tu kujua kuweka saini.
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 40,434 Reaction score 69,243 Jun 9, 2023 #23 G - The Apostle said: Sema ni Ile Maafisa Wengi wa Bongo ni weupe Sana. Utamkuta mtu kajaa ndani ya Ofisi au gari ya umma utasema ana contents , bwana wee kaa nae Sasa au anachokiwaza. Mademu au kudanga au kuchoma nyama msalato na pombe. Trump alikuwa sahihi Click to expand... Hii ni kweli kabisa. Acha wale tu kodi zetu
G - The Apostle said: Sema ni Ile Maafisa Wengi wa Bongo ni weupe Sana. Utamkuta mtu kajaa ndani ya Ofisi au gari ya umma utasema ana contents , bwana wee kaa nae Sasa au anachokiwaza. Mademu au kudanga au kuchoma nyama msalato na pombe. Trump alikuwa sahihi Click to expand... Hii ni kweli kabisa. Acha wale tu kodi zetu
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 40,434 Reaction score 69,243 Jun 9, 2023 #24 Equitable said: Hivi Dr. Philip Mpango analijua hili? Kama Dr. Analijua basi hakuna haja ya phd. Tukomee form four tu kujua kuweka saini. Click to expand... Kwa Tz mtu anasoma sana ili apate kazi nzuri na ajira nothing else
Equitable said: Hivi Dr. Philip Mpango analijua hili? Kama Dr. Analijua basi hakuna haja ya phd. Tukomee form four tu kujua kuweka saini. Click to expand... Kwa Tz mtu anasoma sana ili apate kazi nzuri na ajira nothing else
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,192 Reaction score 9,883 Jun 9, 2023 #25 wangatala said: .View attachment 2651222 Click to expand... Naona unaona aibu kwa washauri wa Mama
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 10,772 Reaction score 19,671 Jun 9, 2023 #26 Kama hashauriki!
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 29,203 Reaction score 60,130 Jun 9, 2023 #27 chwechwe said: Wasaidizi wa Rais Samia wameshindwa kumshauri katika utekelezaji wa majukumu yake. Katika Masuala nyeti ya Uchumi na Sheria. 1. Dkt. Blandina Kilama, Msaidizi wa Rais Uchumi. 2. Nehemia Ernest Mandia Msaidizi wa Rais Sheria. Hawa wameshindwa kazi. Click to expand... Na Samia kaweza kazi?
chwechwe said: Wasaidizi wa Rais Samia wameshindwa kumshauri katika utekelezaji wa majukumu yake. Katika Masuala nyeti ya Uchumi na Sheria. 1. Dkt. Blandina Kilama, Msaidizi wa Rais Uchumi. 2. Nehemia Ernest Mandia Msaidizi wa Rais Sheria. Hawa wameshindwa kazi. Click to expand... Na Samia kaweza kazi?
C cvb-1 Member Joined Dec 14, 2018 Posts 43 Reaction score 46 Apr 22, 2024 #28 Blandina yuko vizuri. Ana iweza hiyo kazi. https://www.linkedin.com/in/blandina-kilama-9b36611
M Mzalendo120 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2022 Posts 1,917 Reaction score 2,547 Apr 22, 2024 #29 Unaweza ukakuta wao ndio wanashauriwa na wanalipwa kwa kushauriwa