Sema ni Ile Maafisa Wengi wa Bongo ni weupe Sana. Utamkuta mtu kajaa ndani ya Ofisi au gari ya umma utasema ana contents , bwana wee kaa nae Sasa au anachokiwaza. Mademu au kudanga au kuchoma nyama msalato na pombe. Trump alikuwa sahihi
Rais haingii mkataba ila serikali ,mshauri binafsi wa Rais haishauri Serikali anatoa ushauri kwa Rais na anawajibika kwa Rais pale anapoombwa ushauri .Hapo Wa kuwajibika ni AG ambaye ni mshauri mkuu wa serikali kwenye Sheria.

Naomba kwanza kujua huyu AG wetu aliingi au alichaguliwa lini kushika ofisi hiyo, pili Kabudi na lukuvi walitolewa lini, kuna vitu nafikiria vinaunganika kama tukiwaza vizuri