Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,036
- 168,674
Wanaume wana mitego, wanawake wana mambinuHahahahaha! U'll never know about women
WASHA BRENDER
Siku ya kwanza
MUME: Halooo vipi mke wangu salama weye?.
MKE: Salama tu
MUME: Uko wapi?
MKE: Jamani si niko nyumbani
MUME: Mhh kama kweli uko nyumbani washa brender nisikie.....mke akawasha brender
MKE: Umesikia?
MUME: Okay haya mi natoka kazini naja
Siku ya pili
MUME: Vipi mko salama huko?
MKE: Tupo kama ulivyotuacha
MUME: kwani uko wapi?
MKE: Niko nyumbani napika
MUME: Washa brender kama kweli uko nyumbani
Mke akawasha brender
MKE: Umesikia?
MUME: Poa ntarudi baada ya masaa mawili
Siku sita baadae mume akaamua kurudi bila kumtaarifu mkewe alipofika home kamkuta mdada wa kazi yuko peke yake.
MUME: We mama yako yuko wapi?
MDADA: Sijui ameondoka na brender toka asubuhi
wanaume wana mitego, wanawake wana mambinu
mitego ipi mliyonayo labda?....mana sie hapo kwenye mitego ndo usiseme!! Waweza omba poo mwenyewe 2kikuamulia! Lol
kaka stevoh yale maombi yaananza kufanya kazi kwani kila niliyemsogeza kwenye goti ameshaanza kuchizika ona huyu sasa na style yake ya kuja hapa mjengoni ameanza kuiacha imani huyu acha nimrejeze kwa upya tena labda atapona
hizo zipo....jirani yangu humwambia mkewe......agongegonge geti......akishagonga anaomba mtu aongee naye hasa watoto.......naniii ongea na baba....WASHA BRENDER