Wasanii wetu wamejisahau katika hili

Sele Mkonje

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
643
844
Habari zenu Brothers and sisters in Humanity.
Hakuna asiefahamu tukio lililotekea hivi majuzi huko Bukoba,watu mbali mbali wamejitokeza kutoa michango yao kuwasaidia wahanga wa Tetemeko.

Cha ajabu ni kwamba mpaka sasa hakuna msanii wala wasanii waliojitokeza kutoa mchango wa hali na mali kwa wahanga.

Ndugu zangu,hali ni mbaya sana huko Bukoba,watu wanalala nje kutokana na nyumba zao kubomoka. Inasikitisha sana kwa hawa tunaowaita kioo cha jamii kujiweka mbali na mambo muhimu ya kijamii kama haya.

Pia nimeshangaa sana Kuona kuna baadhi ya wasanii wamediriki hata kuachia nyimbo mpya wakati huu watu wanatafakari ni jinsi gani wawasaidie wanaBukoba.

Lakini sio wasanii tu wanaotakiwa wajitokeze,hata sisi raia wa kawaida ni wajibu wetu kuwasaidia wenzetu kwa chochote tulicho nacho na kama huna kama mimi basi tuwaombee dua njema wahanga na waliopoteza maisha walazwe mahali wanapostahili. Amina

Natumaini Ujumbe huu wataupata na kujitokeza kuwachangia wahanga wa tetemeko..

[HASHTAG]#mckonjetv[/HASHTAG]
 
Natumaini hata mwandishi usha toa msaada huko, wasanii wana reflect jamii yetu ilivo, wana siasa wamekuwa kimya, walim wa vyuo vikuu, wafanya biashara, na kada mbali mbali.
Hata hapa JF tumekuwa kimya
Japo ni kweli wasanii kwa ujumla wao hawaja fanya chochote cha kuwa saidia.
Sote tubadilike

*it begins with you
 
Mie tayari nishatoa msaada wangu kwa kadri niwezavyo
 
Nipo tayari kutoa mchango wangu.
Naombeni mwongozo
Nawote waliotayari sisi kama wanajamii
Tushauriane nini cha kufanya
 
Labda nao wamesha fanya kimya kimya kama wewe!
*Ahsante! Ni vzuri, kama hawaja fanya wahimizwe tuu wafanye
wasanii wa bongo wanavyopenda Ujiko hawawezi kufanya kimya kimya hata kidogo. Ila labda wanajikusanya kwanza. Ngoja tusubiri tuone
[HASHTAG]#mckonjetv[/HASHTAG]
 
Nipo tayari kutoa mchango wangu.
Naombeni mwongozo
Nawote waliotayari sisi kama wanajamii
Tushauriane nini cha kufanya
Itabidi wazo hili tulifikishe katika uongozi wa JF ili iwekwe thread maalum kwaajili ya kutoa michango. Ninaimani wengi wanataka kutoa michango yao ila hawajui pa kuanzia
[HASHTAG]#mckonjetv[/HASHTAG]
 
Nipo tayari kutoa mchango wangu.
Naombeni mwongozo
Nawote waliotayari sisi kama wanajamii
Tushauriane nini cha kufanya
1473908849620.jpg

Itabidi wazo hili tulifikishe katika uongozi wa JF ili iwekwe thread maalum kwaajili ya kutoa michango. Ninaimani wengi wanataka kutoa michango yao ila hawajui pa kuanzia
[HASHTAG]#mckonjetv[/HASHTAG]
 
Sasa wewe unadhani mtu kama shilole, Gigy money , baraka da prince sijui watatoa msaada upi... Kama msanii hawezi kujisaidia mwenyewe ataweza kukusaidia wewe... Wasanii wengi wa tanzania ni upstairs wasiojielewa ambao bado wanaamini ukale na ujinga...
 
Kweli mkuu. ila naamini akitokea mmoja kujitolea basi na wengine watafuata.
 
wasanii wa bongo wanavyopenda Ujiko hawawezi kufanya kimya kimya hata kidogo. Ila labda wanajikusanya kwanza. Ngoja tusubiri tuone
[HASHTAG]#mckonjetv[/HASHTAG]
Na wakitoa mtasema hivo hivo,ni bora wameamua kuuchuna. Pesa zao, lakini bado munawaambia wanataka ujiko.
 
Back
Top Bottom