Nigga What
Senior Member
- May 1, 2021
- 164
- 438
Nimeumia sana baada ya kusikia hii nyimbobya nigeria ya bwana yule anayesema 'baby calm down calm down' baby wowowowoowowow alafu lolololololo kwa kweli nyimbo hii imetrend sana Tanzania
Ni lini pia mziki wetu utatrend kama hivi pasi kubana pua kiki wala kununua views.
Namkubali diamond lakini sioni akitufikisha naona ameingia kwenye decline phase japo bado ni powerful ndani
Wasanii wetu shida nini