Wasanii wetu mmeshindwa kuungana na Daimond kumchangia msanii Hawa?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Hakika wasanii wa Tanzania wanashangaza sana baada ya vyombo vya habari kutangaza kuwa msanii hawa anaumwa na anahitaji matibabu nje ya nchi niliamini wasanii wangejitokeza kwa wingi kumsaidia msanii mwenzao.

Badala yake ni msanii mmoja tu bwana Diamond alitangaza hadharani kusema ametenga sh.mil.50 kwa ajili ya matibabu hayo nilitegemea baadhi ya wasanii wangejipigapiga ili kuongezea alipoishia Diamond hakika wasanii wetu hamna umoja bali mnasubiri msanii afe ndio mtafute kibali leaders za kuaga mwili wa marehemu kumbukeni leo hawa kesho wewe au mimi.
 
Everyone alikua anamlalamikia Diamond kwamba hamjali Hawa eti kwasababu tu alishirikana nae nyimbo plus kusemekana walikua na uhusiano
Diamond akaamua isiwe shida akaamua kulipia matibabu then hawana wa kumlaumu tena na kuchanga hawachangi very selfish people.
 
Kwenye matibabu Diamond, kwenye kuzika na kulia watakuwa wote
 
Hakika wasanii wa Tanzania wanashangaza sana baada ya vyombo vya habari kutangaza kuwa msanii hawa anaumwa na anahitaji matibabu nje ya nchi niliamini wasanii wangejitokeza kwa wingi kumsaidia msanii mwenzao.

Badala yake ni msanii mmoja tu bwana Diamond alitangaza hadharani kusema ametenga sh.mil.50 kwa ajili ya matibabu hayo nilitegemea baadhi ya wasanii wangejipigapiga ili kuongezea alipoishia Diamond hakika wasanii wetu hamna umoja bali mnasubiri msanii afe ndio mtafute kibali leaders za kuaga mwili wa marehemu kumbukeni leo hawa kesho wewe au mimi.
Kwani Royalty, mapato, shows na haki zote za wimbo wa NITAREJEA Domo huwa anagawana na wasanii wenzake
 
Wasanii uwa hawachangi mpaka wahamasishwe na clouds, au mhusika awe ana jina kubwa.
Halafu jamani kumchangia mtu siyo lazima ni hiari haya mambo ya kufanya kuchangiana iwe kama wajibu sijui hii tabia watanzania tumeitoa wapi
 
Kwani Royalty, mapato, shows na haki zote za wimbo wa NITAREJEA Domo huwa anagawana na wasanii wenzake
Tanzania hakuna kitu kama hicho kwahiyo usitake kuyaangiza.. Tanzania mziki ulivyo kuanzia beat, mashahiri, na wimbo wenyewe mali ya Msanii mwenye wimbo. hayo mambo waachie wenzetu bado hatujafika huko.
 
Haya anza kuuza na kupiga show kwa wimbo wa NITAREJEA maana kwa maelezo yako hauna mwenyewe
 
Nimesema kila kitu ni mali ya msanii mwenye wimbo au umequote bila kumaliza nilichoandika tazama ulicho quote nimesema kuanzia beat, mashahiri na kila kitu ni mali ya msanii mwenye wimbo kibongobongo
 
Papa ale mwingine, michango tutoe sisi! Hiwezekani muzee, mla papa, agharamie tu.. hakuna namna
 
Back
Top Bottom