Kwanza kabla ya kuwa na mfuko wao wajifunze kuwa humble. They have to know and well understand that their audience are their bosses.
For real, we all have our ups and down! Wakiwa katika vilele vyao basi hujiona kama wao hakuna.Its true mkuu,nani atawaelewesha sasa??lol I just think kuwe na some coaching what to expect during fame,na kuna Maisha after being famous,..lol...
For real, we all have our ups and down! Wakiwa katika vilele vyao basi hujiona kama wao hakuna.
Kwahiyo until then waache waendelee kuwa mapunda kwanza.
Well, good nightMkuu unaelewa kuwa ni group at risk??,wewe na mimi tuna ups and down lakini ukiwa kwenye 'spot light' ni ishu nyingine...wako vulnerable is what I am trying to say...
Hello JF,
This will create awareness of mental health difficulties at the same time waathirika wanapata practical solution before things get worse.
Becky.
Hii ndiyo kitu nilikuwa nakwambia last time, una vitu vingi kwenye sekta hii ambavyo naamini ukiamua kifunguka utatusaidia wengi.
Mkuu ungenijua usingesema hivyo hahahahahah its opposite humu niko kujifunza Zaidi,vitu vinavyoandikwa humu ndio huwa ndio napenda kuviangalia na kujifunza na kunifikirisha..usiniogope mkuu mie mropokaji tuu..lol
Ungeweza pia kusema "thank you" bila kuhusisha gender kama hukuwa na uhakika kama me ni ke au meThank you mamii,ulale unono pia..
Hii topic umewahi kuileta, na nadhani pia kuna thread umewahi kuchangia points kadhaa ambazo ni related na hizi mambo.
Naamini ipo siku utafunguka, believe me, humu ndani tunao wengi ambao wanahitaji hilo somo.
Ni muathirika wa mambo haya ninayozungumzia..nisingependa wengine waende route niliyopitia,ninajifunza bado..sijawa expert,lol
I can understand Rebeca 83Nisamehe kama nimekukwaza...halikua lengo langu mkuu