Wasanii wakitoka Chaka tu Chaka mwisho wa siku bar tu bar kiingilio bia

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,740
Baada kusambaa story za msanii poor mavoko baada ya kuwa rich mavoko.

Mziki wake umekosa washauri sababu akili zao ndio zimeishia hapo kama ma mameneja wao ambao wanatumia nguvu kuchekesha wenye idadi ya maigizo kuzidi umri wao.

Kama mtakumbuka Mr nice naye alianza Chaka tu Chaka na mwisho bar tu bar.
Mwisho wa siku kwenda zake Kenya.

Mziki wa Sasa sio wakupata masteji sana labda ukiandaliwa na wenye dau nono wakikuitaji.

Zipo stream nyingi zinaweza kukuwezesha watu wakakufahamu.
Leo Chaka ilo aka kijijini wanafahamu boomplayer.

Chaka ilo wanapigiwa nyimbo za wasanii disko na kwengine.

Wasanii
 
Waachie mambo yao
 
Back
Top Bottom