Ni kweli kabisa, mimi nililiona hilo Kitambo tu. Kama unakumbuka jamaa alivyotoa miondoko ya bolingo na Koffi Olomide tukashuhudia wengine nao wakaanza kupitia humohumo, sijui ndombolo ya solo. Na wengine wakadiliki kuwaleta mpaka malegend wa kikongo kama alivyofanya Diamond.
Lakini wakiamka siku ya pili wanamponda.