Wasanii na pesa za CCM

nimesha fanya yangu,,,wasanii wajinga wanao fikiria kuwa na idadi kubwa ya followers kwenye insta ni maendeleo hawawezi kunishawishi nimchague kiongozi kwani wao ni vilazaaaaaa
 

Waache waendelee kujichoresha mkuu, yaani uache fimbo ya karibu ukachague ya mbali? ili ikusaidie nini?
 
Acha ujahiliii kila mtu ana uhuru wa kusapoti anachapenda
Imekugusa hiyo polee sana,kama haijakugusa jifikilie kwa akili ya kawaida watu zaidi ya 7 kupost kitu kimoja unapata picha gani hapo!!chege,linah,shilole kawaangalie insta
 
Acha ukabila wewe! Chadema ni ya watz wote!

Usitake kudanganya wala kutania watanzania, hii imejidhihirisha wazi kuwa chama hiki kina ukabila, tena na ukanda, kwani kilichotokea Arusha baadaya Lowasa kukatwa nini? si jazba zinazo sukumwa na ukabila zile?
 
Definitely wasanii wamekua organized kupost hizo Picha, alafu wote wameanza siku moja na Picha zimekua edited from one source, the question is wanapost kwa mapenzi yao? Au wamashinikizwa? Who is behind this?
 
Imekugusa hiyo polee sana,kama haijakugusa jifikilie kwa akili ya kawaida watu zaidi ya 7 kupost kitu kimoja unapata picha gani hapo!!chege,linah,shilole kawaangalie insta

Poleeee mumepanic CCM si mchezo... jana dogo janja kapost watu wakaanza kuleta ukabila na ukanda... na sis tunasema wataisoma namba acha wasanii waposti hii ni nchi ya demokrasia ivi mbona Wolper hamumusemi? au unadhani ukiona post nyingi zinazosupport UKAWA JF ndio mumeshinda... tumia common sense post nyingi zs CCM wanazedelete maadimin, halafu kama umegundua CCM si waropokaji, wametulia hawana matuc ila mwisho wenu mtaingia msituni... Usitegemee wasukuma wakamuunga mkono Lowassa... hata wakiwepo haizd 20% na usitegemee kazkazin yote itaipigia CHADEMA.. Inahitajika akili kubwa kutafakar... saiv ndio MOTO wa CCM unaanza kuunguza.. tulia uungue mjomba bado DIAMOND na yule ndio team magufili MOJA. Achia kijiti kikuingie vizur

HAPA KAZI TU MATUMAINI PELEKA ANGAZA
 
kumfollow mtu asiyejitambua ni sawa na kumfuata mbwa kipofu katika usiku wa kiza kinene. Wengi wa wasanii wa Tanzania hawajitambui na wanatumuka kwa msimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…