kibavu
Senior Member
- Oct 15, 2008
- 136
- 82
Wasanii wa mnapoalikwa kwenye shughuli za kisiasa, linapokuja suala la wimbo wa taifa na alama za kitaifa suala la siasa na usanii uwekwe pembeni. Kwa mfano jana msanii Single Mtambalike amechemka sana wakati wa zoezi la kufungua kampeni za CCM, kwani wakati watu wakiwa wametulia na kuimba wimbo wa Taifa yeye alikuwa akipepea bendera kitu ambacho ni kinyume na taratibu za uimbaji wa wimbo wa taifa. Pia kulikuwa na wasanii walioonekana wakifanya movement mbalimbali wakati zoezi hilo likiendelea!
Kama hiyo haitoshi hata yule msanii aliyepewa kazi ya kuimbisha wimbo wa taifa naye pia alichemka kwa kuimba wimbo wa taifa kama vile anapiga remix ya wimbo huo. HII SI SAWA NA HAIKUBALIKI.... ALAMA ZA TAIFA LAZIMA ZIHESHIMIWE MAHALI POPOTE, WAKATI WOWOTE NA WATU WOTE!
USHAURI: Inapotokea WASANII mmealikwa kwenye shughuli ya kisiasa kama hiyo ambayo ina mtazamo wa kitaifa basi fanyeni mazoezi ya pamoja rehearsal ili kuondoa hali ya sintofahamu na kujishushia hadhi yenu na hadhi ya wale walio waalikeni.