Hayo maneno hata kwenye kanga yapo, so usijali sana!. Natulia kuona msaada wako kwa wale wahitaji, maana wengi wenu hamchelewi kuanza kuwaomba Pesa mara Ngono; mwisho inakuwa shida tupu. Kila laheri, quoted.Nipo kusaidia tu kama hutaki pita tu usipotoshe watu....... Mungu hawezi kukusaidia bila wewe mwenyewe kujisidia!!
Mkuu mnapatikana wapi ... Je, mnawasaidia kivipi wasanii chipukizi ... Je, Kuna gharama zozote watatozwa wakati wa kulekodi nyimbo au ni bure tu ...
OkHii ni kampuni kaka, kama tutaelewa uwezo wako utaingia ndani ya kampuni hakuna gharama yoyote!!
nimeweka number ya simu kwa mawasiliano zaidi
Kama wewe ni msanii wa kuigiza ama kuimba na unahisi ndoto zako hazijatimia Muda wako umefika wa kutimiza ndoto zako!!
Karibu Moo Entertainment Utimize ndoto yako sasa
Mawasiliano zaidi 0658644485

Ukipata wasanii ukihitaji studio ya kurekodi ni pm tufanye kaziHii ni kampuni kaka, kama tutaelewa uwezo wako utaingia ndani ya kampuni hakuna gharama yoyote!!
nimeweka number ya simu kwa mawasiliano zaidi
Hahahah duhNipo kusaidia tu kama hutaki pita tu usipotoshe watu....... Mungu hawezi kukusaidia bila wewe mwenyewe kujisidia!!
Kama wewe ni msanii wa kuigiza ama kuimba na unahisi ndoto zako hazijatimia Muda wako umefika wa kutimiza ndoto zako!!
Karibu Moo Entertainment Utimize ndoto yako sasa
Mawasiliano zaidi 0658644485
Una kazi yoyote ambayo umefanya imeshatoka??Studio ninayo Nafanya production Zote mpaka za movies