WASAMBAA PUNGUZENI USAMBAA WENU BASI

Mnyenz

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
1,426
4,329
Kuna jamaa alikua dereva wa fuso akawapa lifti wasambaa nane, akawapandisha kwenye bodi lakini akawaambia kwa kuwa sheria haziruhusu gari ya mizigo kupakia abiria tena nyuma basi itabidi wakae kimya wasiongee kitu, wasambaa wakakubaliana na yule jamaa na kuahidi kwamba watakaa kimya mpaka mwisho wa safari.
Wakiwa njiani ASKARI akasimamisha gari kwa ajili ya ukaguzi, akamuuliza dereva.
ASKARI; Umepakia nini?
DEREVA; Sijapakia kitu.
{Wakati mahojiano yanaendelea kuna msambaa mmoja aliamua kuchungulia nje ili aone kinachoendelea, alifunua kiupenyo kidogo kisha akachungulia, akamuona ASKARI live, baada ya kumuona akawageukia wenzake kisha akawaambia kwa kunong'oneza}
MSAMBAA;Huyu si ni mtoto wa SHEMDOE jamani!!!?
Basi wasambaa wote wakafunua turubai kuhakikisha kama wanachoambiwa ni kweli,halafu wakaanza kuambiana{kwa sauti} sio yeye, yeye ni mrefu kidogo.Basi ASKARI akawaona live akampiga faini dereva kwa kumdanganya ASKARI, dereva akakasirika sana akaamua kuwashusha wasambaa wote,.
 
Uwuiiiiiiiii wandima

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom