Amani ya bwana iwe nanyi.
Inajulikana wazi kuwa katiba ya nchi yetu inampa uhuru mtu yoyote kuishi mahali popote na kuhamia chama chochote cha siasa anachoona kinafaa.
Hivi karibuni limeibuka wimbi la wanachama kuhama chama mara kwa mara, hili ni jambo la kawaida wala hamna anayelitilia shaka kwa sababu kwenye nchi yenye democrasia pana kama Tanzania hayo mambo yanatazamiwa kutokea.
Kilichonishitua na kuamua kuandika uzi huu ni aina ya wanachama wanaohamia kutoka CCM kwenda CHADEMA.
Ukiwaangalia waliohamia CHADEMA kama Lowassa, Sumaye, Wema Sepetu, Nyalandu wote ni watuhumiwa wa ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiulizwa kwanini wezi na wauza madawa ya kulevya wanakimbilia CHADEMA? Anajibu chama ni watu!
Kweli CHADEMA mesahau miiko, maadili na misingi ya kuanzishwa kwake hadi ipokee mafisadi na wala rushwa?
Kwa hali hii chadema inajiandaa kushika dola kweli?
Kwa upande wa wanachama wanaohamia CCM kuanzia Masha, Mkumbo, Mwigamba, Katambi wote ni wasafi na hawana hata tone la ufisadi wala matumizi mabaya ya madaraka kama wale wanaotoka CCM na kwenda CHADEMA!
Kwanini hali hii inatokea?
Nini kimeifanya CHADEMA iwe kimbilio la mafisadi, wala rushwa na majizi alafu CCM kugeuka kuwa kimbilio la wasafi, wazalendo na wachapakazi?