Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,949
- 4,426
I can't agree more.Wasafi Media ilianza kwa mbwembe nyingi, lakini muda unavozidi kwenda naona hamna jipya. Nilitegemea Wasafi wataleta vitu vipya.
Muda unavozidi kwenda, yaani wanaonesha dhahiri hawana jipya kwenye industry ya media zaidi ya c&p. Vipindi vyote vya redio ni c&p ya Clouds. Mmeweka Michezo asubuhi baada ya kuona Efm wanafanya. Mkagawa mafuta bure baada ya kuona Efm wanafanya.
Refresh kipindi cha jioni mkaona muige kabisa EATV jinsi wanavoenda mtaani kuchukua maoni ya watu. Kipindi cha Uswazi cha EATV mkaona kabisa mkilete kwenu ila mkabadilisha jina tu.
Ushauri: Diamond Platnumz utapoteza pesa nyingi kununua watu ili ubebe media yako lakini utashia kupoteza pesa yako bure.
Wasanii wanalalamikia TV yako especially Wachanga kwamba hupigi nyimbo zao. Unapiga za Nigeria na nje.
Kwani hujui hakuna jipya chini ya jua? [emoji846]Wasafi Media ilianza kwa mbwembe nyingi, lakini muda unavozidi kwenda naona hamna jipya. Nilitegemea Wasafi wataleta vitu vipya.
Muda unavozidi kwenda, yaani wanaonesha dhahiri hawana jipya kwenye industry ya media zaidi ya c&p. Vipindi vyote vya redio ni c&p ya Clouds. Mmeweka Michezo asubuhi baada ya kuona Efm wanafanya. Mkagawa mafuta bure baada ya kuona Efm wanafanya.
Refresh kipindi cha jioni mkaona muige kabisa EATV jinsi wanavoenda mtaani kuchukua maoni ya watu. Kipindi cha Uswazi cha EATV mkaona kabisa mkilete kwenu ila mkabadilisha jina tu.
Ushauri: Diamond Platnumz utapoteza pesa nyingi kununua watu ili ubebe media yako lakini utashia kupoteza pesa yako bure.
Wasanii wanalalamikia TV yako especially Wachanga kwamba hupigi nyimbo zao. Unapiga za Nigeria na nje.
We nae hujui chochote..umekoment kwa mihemko au propaganda zimekuingia..kuna Uzi humu umeelezea Kwa ufasaha kuhusu wasafi media,utapata kitu kipyaSasa ulitegemea iwe na ubunifu gani wkt mmiliki wa Clouds na wasafi ni mmoja(kusaga family)?.
Uzi huo nenda mwenyewe na wakuda wenzio.We nae hujui chochote..umekoment kwa mihemko au propaganda zimekuingia..kuna Uzi humu umeelezea Kwa ufasaha kuhusu wasafi media,utapata kitu kipya
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Endelea kusubiria meli Airport.Ila hakuna kipya chini ya jua.Wasafi Media ilianza kwa mbwembe nyingi, lakini muda unavozidi kwenda naona hamna jipya. Nilitegemea Wasafi wataleta vitu vipya.