Hata kama ana hoja za msingi kiasi gani....wakristo hawa operate hivyo...kwa kuanika madhaifu ya ndugu zao ktk imani tena mtandaoni. Alipaswa kuwaona kwanza.
Cha pili ni kuwa tumesikia upande mmoja tu wa mleta mada, hao Lightbearers hatujawasikia.
Inategemea jambo limemgusa vipi Kama kachapiwa mkewe unadhani atakuwa na muda wa kwenda kwa shemasi?
Km mmechapiwa wake ni kesi nyingine..men utschapiwaje mke km ww si mzembe😏
😂 😂 Hapo ndio unafeli, unadhan kuchapiwa ni uzembe wake, u know unapohisi mke wako yuko sehemu salama kwenye kwaya ya Mungu kumbe wakati wa kurekod usiku watu wanakula mzigo
Peleka kesi kanisani sio hp
Hana hoja ya msingi mkuu binafsi sijamuelewa anataka niniMkuu mbona sioni hili jina la kwaya u tube??
Nilitaka nione uzuri wa hii kwaya kwanza manake ni muumini mzuri wa nyimbo za kisabato.
Anataka wa kumfunga paka kengele mkuuHana hoja ya msingi mkuu binafsi sijamuelewa anataka nini
Hana hoja ya msingi mkuu binafsi sijamuelewa anataka nini
sauti ya huruma ikaniita,kwanini waniacha hapa msalabani,Mwokozi yupo mlangoni,Neno la Bwana Yesu na Nikikumbuka huruma yako! Nimemis sana hizo nyimbo nilizisikia nikiwa bado Mdogo wakati huo kila J'mos tulikuwa tunaenda kusali Mwisenge Sda pale Asee!Yaan huwa naziskia radio moja nakumbukia utoto wangu naupenda ule unaimba..twaimba tumejaa furaha ....Yesu kristo ni bwana wa mabwana tunafuraha kwaajili ya aman tulopewa😊😊😊..sauti tamu mno!ndo maana mm mtu aniletee cd ya Bon mwaitege namwambia kauze tu .aliwah niletea hubby cd ya bon ya wimbo wa mama🤣🤣🤣🤣🤣🤣!ukwel nilimwambia rudisha tu😉!hao kina rose waaruka km sarakasi hapana aisee
sauti ya huruma ikaniita,kwanini waniacha hapa msalabani,Mwokozi yupo mlangoni,Neno la Bwana Yesu na Nikikumbuka huruma yako! Nimemis sana hizo nyimbo nilizisikia nikiwa bado Mdogo wakati huo kila J'mos tulikuwa tunaenda kusali Mwisenge Sda pale Asee!
Mkuu, mke wako ni yupi Kati ya wale wadada? Yule dark skinned anaomba sauti ya kwanza, manake kuna mmoja mweupee ila hana mume, wazee wamemzalisha tu.[emoji23] [emoji23] Sio mm, mm nimchangiaji tu, mm alivyomtongoza mke wangu nilimfata mwenyewe huyo Mwalimu na anajua nn kilitokea
Unazingua mama Bishanga..Halafu ikatokea unaishi na mwanaume bila ndoa watakavyokunyanyapaa hutapewa hata kazi ya kupanga viti kanisani. Kumbe wameficha midhambi Yao kwenye kujifanya waimbaji na kutoa mimba.
Ukweli mnaaibisha kanisa la Mungu. Kama Lekundayo na wenzako hamtakemea haya na kuifunga hiyo kwaya Kama mlivyofanya kwa kwaya ya muungano basi nitajua Hali imekuwa tete. Simamieni maadili km mnavyosimamia na kusisitiza makusanyo ya zaka na sadaka
Inategemea jambo limemgusa vipi Kama kachapiwa mkewe unadhani atakuwa na muda wa kwenda kwa shemasi?
Kwa comment hii nimeamini wewe ni muongo
Mkuu, mke wako ni yupi Kati ya wale wadada? Yule dark skinned anaomba sauti ya kwanza, manake kuna mmoja mweupee ila hana mume, wazee wamemzalisha tu.
Kkkkkkkkkk[emoji23]Vizuri kwa kufichua maovu, hasa hasa ya kanisa zima la Wasabato, kanisa hilo ni la kukimbiwa, hiyo kwaya naifananisha na Golden Gate ya Uganda, waimbaji wake walikuwa wanatombana sana hadi wote wakafa kwa Ukimwi wa enzi hizo
Mpaka amesema means anajua anachosema me mwenyewe nimeshamuona yule mwalimu anakula mzigo kwenye Noah yake mwana kwaya mmoja anakaa Makongo juu bonge mweupe
Action ya huku mtandaoni na jina bandia ni action bandia tu, majungu. Kama madai yako ni ya kweli nenda panapohusika ukayatoe madai yako huko. Vinginevyo kinachofanyika hapa ni majungu na umbea tu.Mnalea mauchafu kwa upenzi wa kijinga, ww kama kanisa lenu linachafuliwa take action ili liwe safi sio kwa kujifanya unaongea ujinga