huyo aliyeleta ndiye mwenye data mtu mwingine yeyote akilibeba juu juu itakuwa uzushi hana evidence
kama una data zoote hizo kwa nini hufikishi kunakohusika?Sasa ngoja nikupe data nyingine, ni kweli huyo Mwalimu ndio tabia yake tena alikuwa anawagonga kwenye noah, na kuna time walienda Marekani huko alikula mwanakwaya mpaka walimfumania naweza Kukupa mpaka jina la huyo mwanakwaya na bado kuna mwingine anasoma ifm anakaa Tabata Yan wapo kibao muhimu ni kufanyia kazi Coz inachafua sana dhehebu
kama una data zoote hizo kwa nini hufikishi kunakohusika?
although na hapa wanasoma hao wakubwa zitawafikia lakini sio official
Yupi mkuu nikukwamue!Kuna binti mmoja namkubali sana kwenye hiyo kwaya, connection tafadhali.
inawezekanaTulishapeleka serikalini malalamiko ya huyu jamaa kwa mabinti zetu Coz kama anangoma basi wote anawauwa
Kuna wakati gazeti la Drum walitoa maneno ambayo walisema ni "tongue twister". Wakaleta neno hilo ambalo ni la lugha yako na tafsiri waliyoitoa ni kwamba " it is a market place in Obwere". Sasa wengine ilituwia vigumu sana kutamka hilo neno na tukakubaliana nao kuhusu hilo.Hahahah mkuu ndio lugha yangu hiyo.lakini ulichoandika kama sijakielewa.
inawezekana
1 mliambie kanisa lake na uongozi wa kanisa
2 nendeni takukuru!
3, nendeni uhamiaji kama mnadhani hana vibali
4. nendeni hata kwa TISS
HAIKUBALIKI, NI MSHIRIKI WA KANISA GANI? JE VIONGOZI WA KANISA WAOA WANASEMAJE?Kwa sababu just emagine unamruhusu mke wako au mtoto wako kwenda kujifunza kumwimbia Mungu na unajua pale ndio yuko safe zaidi coz ni sehemu ya Mungu then kinachotokea mzee mzima mwenye miaka zaid ya 50 anawarubuni anawagonga
Labda kama ziko Light bearers mbili hapa Tz, ila hii ninayoijua mbona ni watu wazima sio wasichana na wavulana wadogo kama ulivyodai hapa.
Fatilia utaamini
Kwa hiyo Mkuu hii iliyopost thread ndio akaunti yako mpya... Kila la heri mkuu ila uifute ukimaliza kazi nayoYule mwalimu wao anatakiwa kupelekwa uhamiaji, anaharibu sana watoto wa watu kwa kuwadanganya atawapa connection na kwaya kubwa Then anakula mzigo
Hao wanaodanganyika ndio shida zaidi "uimbaji" na "kulana mizigo" wapi na wapi?Yule mwalimu wao anatakiwa kupelekwa uhamiaji, anaharibu sana watoto wa watu kwa kuwadanganya atawapa connection na kwaya kubwa Then anakula mzigo
obwerenyong'ong'ming'ong'ewang means obwere ni sehemu ya kukodolea macho kodo.Kuna wakati gazeti la Drum walitoa maneno ambayo walisema ni "tongue twister". Wakaleta neno hilo ambalo ni la lugha yako na tafsiri waliyoitoa ni kwamba " it is a market place in Obwere". Sasa wengine ilituwia vigumu sana kutamka hilo neno na tukakubaliana nao kuhusu hilo.
Wewe na mtoa mada ni mtu mmoja ID tofauti?
Huu ni uzi wa 5 ambao unahusisha na hiyo kwaya so lazima kutakuwa na kitu sio jambo la kupuuza
Kwa hiyo Mkuu hii iliyopost thread ndio akaunti yako mpya... Kila la heri mkuu ila uifute ukimaliza kazi nayo