Huyo Padre aendelee kutoa neno, likusaidie wewe mkuu. I'm not in need.Hii debate tulishaimaliza mimi na Kiranga na tumeshakubaliana kuwa . Mungu yupo, japo si kwa kukiri kwa maneno ila kwa BODY LANGUAGE!, Tatizo lako wewe naona liko kwenye ufahamu. Nashauri umsikilize mtumishi wa Mungu Padre Dr. Faustine Kamugisha Upendo TV kila siku jioni na asubuhi wiki hii, aongeze ukarbati kwenye kichwa chako. Ukishakosa ufahamu sahihi, halafu ukawa hujui kuwa umekosa ufahamu sahihi, ni matatizo. Lakini sasa Padre Dr. kamugisha anasema kuwa MATATIZO SIYO TATIZO. Huyu mtumishi naamini anaweza aawa wa msaada wa pekee sana kwako!
Mkuu unadhan natania?kuchapiwa mke ni uzembe wa mume....ukiona mkeo achepuka shida iko kwako!nimemaliza mm!
Yaan wanajua mno...mm siku hiz nimeacha mapenzi na kurasin sda..nimegundua wanaimba kwa ngv sana mishipa hyoo...golden gate is the best .wataliaaaa uwiiiii jua namwezi vikianguka..dah...!
Mimi nimeolewa RC..Lakini nimeshindwa kbs kusali kule .najiona kbs najidanganya!...bora urudi usabatoni mkuu!
Kabisa ni kweli, alikuwa nmb and now amefukuzwa hayo yote ni sawa the ishu is ngono zinavyofanyika pale ni hatari, fanya uchunguzi uwez kuamini
Sikiliza. Mke hachungwi. Utakufa kwa presha.
Kwa hiyo sasa unaamini hatongozwi?
Unaweza kukuta hadi mdogo wako alishamtongoza, lakini kwa kutunza heshima ya familia mkeo amekausha hajasema. Hata babako mzazi anaweza kumtongoza mkeo. Wanawake wanakutana na vituko vingi hawasemi.
Ukimchunguza bata hutomla.
nilikuwa napita pale kambi ya FFU navuka uwanja wa ndege naingia Musoma primary School nikiwa bado Dogo!Na kamyonge huku juu juu ulikuwa hufiki bosi?
Unazingua mama Bishanga..
Hii haikupi uhalali wa kuishi na mwanaume bila ndoa, unachofanya ni uzinzi tu.
Uzinzi wa mtu fulani hauhalalishi kuwa na wengine nao waingie kwenye uzinzi.
Kama umewekewa vikwazo kwa sababu ya uzinzi wako hiyo ni halali kabisa, acha uzinzi vikwazo viondolewe.
Kurasini now naona Kibaso amechoka hawana nyimbo nzuri kama zamani
Mtenda dhambi ndiye wa kukemewa,siyo kuleta majungu JF. Mwenye dhambi lazima aonywe sana aache dhambi. Kama kuna mtu unamjua ametenda hiyo dhambi ya uzinzi, kuishi na mwanaume bila ndoa, kamkemee huyo, usipoteze muda wako na nguvu zako kwa wasiohusika.Sio Mimi Ila wasibague dhambi na dhambi. Halaf ww ndo umetumwa kulitetea kanisa?? Haha dhambi haifutwi kwa kutetea dhambi. Fwatilieni kwaya km yanayosemwa ni kweli mkemee sio kuja JF kupamba pamba. Bye
Nimekuthamehee!Nthameheee
light bearersMkuu mbona sioni hili jina la kwaya youtube??
Nilitaka nione uzuri wa hii kwaya kwanza manake ni muumini mzuri wa nyimbo za kisabato.
Akitoka huko aje na Iringo piaNjoo na kamuyonge [emoji3] [emoji3]
nilikuwa napita pale kambi ya FFU navuka uwanja wa ndege naingia Musoma primary School nikiwa bado Dogo!
Asee mimi nilikuwa naishi Majita road! Maeneo hayo Kamunyonge barabara inayopitia kwa Mzee Mtalagala Chirangi ndio ilikuwa njia yangu kwenda kwenda School,Nyasho au Town.dusabimana, si ni maeneo ya huku kwetu nyamiaga au, nakatunga maana walikuwa wengi pindi nakaa huko