tulia miguuni kwa Yesu acha kutanga tangaNilikuwa msabato na bado naipenda sana Sabato mpaka leo hii, ila kwa sasa nimeshakuwa Mlokole! Tatizo kubwa sana nililonalo sasa hivi ni kwamba najua yote yaliyoko kwenye usabato na baadhi tu ya yaliyoko kwenye ulokole, na hilo ndiyo tatizo pekee linalonifanya niendelee kuwa mlokole! Nadhani siku nikishayajua yote yaliyoko kwenye ulokole, naweza nikarudi tena Sabato. Tatizo lililopo ni kuwa itikadi ya walokole imejikita kwa Roho Mtakatifu aliyeshuka siku ya Pentekoste, wiki kadhaa baada ya Yesu kuwa amepaa mbinguni. Sasa huyu Roho Mtakatifu ni FACT kuwa hana mwanzo na wala mwisho, ila tofauti na mimi, mwanzo ninao japo nami mwisho sina.. Sasa najiuliza ni lini yaliyoko kwenye ulokole nitakuja kuyajua yote, ili angalua nipate tena nafasi ya kuhamia kwingine? Msaada tafadhali katika hili, kama upo!
Wahi hospitali tena haraka!Bas naumwa mm!
Kwahiyo mkeo ni mtoto? Akitongozwa analiwa? Weweeee acha dharau kwa mkeo. Ukiendekeza wivu wa kindezi ataliwa kweli shauri zako, au labda ashaliwa tayari
Alikukosa! Kwani alikutongoza?Mimi ata demu wakisabato,simtaki,mmoja alinkosa kuniambukiza ukimwi..wanagawa ovyo..wako cheap.
Na wewe ndio Waziri mwenyewe, watu wanajaribu kukuchafua.... jitafakari huenda kuna wachache wananajisi kazi yako.
Weeeh! Umemsusia paka kikaango?Nimeshamtoa kabisa,
Ukirudi niambie niwe nakusindikiza church mtumishi[emoji39]Mimi nimeolewa RC..Lakini nimeshindwa kbs kusali kule .najiona kbs najidanganya!...bora urudi usabatoni mkuu!
Usipende kuhamahama kwenye haya madhehebu, utachanganyikiwa bure. Stick to God , au baki kama mimi tu. Uwepo wa Mungu ni maneno tu ya watu na hayana msingi wowote.Nilikuwa msabato na bado naipenda sana Sabato mpaka leo hii, ila kwa sasa nimeshakuwa Mlokole! Tatizo kubwa sana nililonalo sasa hivi ni kwamba najua yote yaliyoko kwenye usabato na baadhi tu ya yaliyoko kwenye ulokole, na hilo ndiyo tatizo pekee linalonifanya niendelee kuwa mlokole! Nadhani siku nikishayajua yote yaliyoko kwenye ulokole, naweza nikarudi tena Sabato. Tatizo lililopo ni kuwa itikadi ya walokole imejikita kwa Roho Mtakatifu aliyeshuka siku ya Pentekoste, wiki kadhaa baada ya Yesu kuwa amepaa mbinguni. Sasa huyu Roho Mtakatifu ni FACT kuwa hana mwanzo na wala mwisho, ila tofauti na mimi, mwanzo ninao japo nami mwisho sina.. Sasa najiuliza ni lini yaliyoko kwenye ulokole nitakuja kuyajua yote, ili angalua nipate tena nafasi ya kuhamia kwingine? Msaada tafadhali katika hili, kama upo!
Well said madam, hakuna kwaya hiliokua inanibariki kama Muungano kama hii kwaya maovu yapo na yanajulikana inabidi isimamishwe najua Hilo linawezekana.Halafu ikatokea unaishi na mwanaume bila ndoa watakavyokunyanyapaa hutapewa hata kazi ya kupanga viti kanisani. Kumbe wameficha midhambi Yao kwenye kujifanya waimbaji na kutoa mimba.
Ukweli mnaaibisha kanisa la Mungu. Kama Lekundayo na wenzako hamtakemea haya na kuifunga hiyo kwaya Kama mlivyofanya kwa kwaya ya muungano basi nitajua Hali imekuwa tete. Simamieni maadili km mnavyosimamia na kusisitiza makusanyo ya zaka na sadaka
ila ni bora kufia madhabahuni kuliko kwenye kichaka damu ya Yesu yatakasa tulia miguuni mwakeUsipende kuhamahama kwenye haya madhehebu, utachanganyikiwa bure. Stick to God , au baki kama mimi tu. Uwepo wa Mungu ni maneno tu ya watu na hayana msingi wowote.
Umepotoka kiasi ndugu yangu, hujautendea haki ukweli ulivyo.Mimi nimeolewa RC..Lakini nimeshindwa kbs kusali kule .najiona kbs najidanganya!...bora urudi usabatoni mkuu!
Weeeh! Umemsusia paka kikaango?
Wahenga walisema paka hasusiwi kikaango, ukimsusia minofu yote yaondoka!
Hayo ni maneno tu, yanachagizwa na woga alionao mwanadamu juu ya maisha ya sasa na baada ya kifo chake. Tungekuwa na assurance ya kuishi bila kufa wala usingeona mtu anahangaika na hizi dini/Imani.ila ni bora kufia madhabahuni kuliko kwenye kichaka damu ya Yesu yatakasa tulia miguuni mwake
Hayo ni maneno tu, yanachagizwa na woga alionao mwanadamu juu ya maisha ya sasa na baada ya kifo chake. Tungekuwa na assurance ya kuishi bila kufa wala usingeona mtu anahangaika na hizi dini/Imani.
Sikiliza. Mke hachungwi. Utakufa kwa presha.Sasa unataka apate ngoma au
Utajichanganya tu. Labda kama huna watoto itakuwa rahisi wewe na mumeo kila mmoja kusali kivyake. Halafu kama huko ibadani mmehubiriwa mambo yanayokinzana ukirudi nyumbani kila mmoja anakula kivyake na kulala kivyake. Yatakayofuata sihitaji kukuambia, utaona mwenyewe.Mimi nimeolewa RC..Lakini nimeshindwa kbs kusali kule .najiona kbs najidanganya!...bora urudi usabatoni mkuu!
Hii debate tulishaimaliza mimi na Kiranga na tumeshakubaliana kuwa . Mungu yupo, japo si kwa kukiri kwa maneno ila kwa BODY LANGUAGE!, Tatizo lako wewe naona liko kwenye ufahamu. Nashauri umsikilize mtumishi wa Mungu Padre Dr. Faustine Kamugisha Upendo TV kila siku jioni na asubuhi wiki hii, aongeze ukarbati kwenye kichwa chako. Ukishakosa ufahamu sahihi, halafu ukawa hujui kuwa umekosa ufahamu sahihi, ni matatizo. Lakini sasa Padre Dr. kamugisha anasema kuwa MATATIZO SIYO TATIZO. Huyu mtumishi naamini anaweza aawa wa msaada wa pekee sana kwako!Usipende kuhamahama kwenye haya madhehebu, utachanganyikiwa bure. Stick to God , au baki kama mimi tu. Uwepo wa Mungu ni maneno tu ya watu na hayana msingi wowote.
Utajichanganya tu. Labda kama huna watoto itakuwa rahisi wewe na mumeo kila mmoja kusali kivyake. Halafu kama huko ibadani mmehubiriwa mambo yanayokinzana ukirudi nyumbani kila mmoja anakula kivyake na kulala kivyake. Yatakayofuata sihitaji kukuambia, utaona mwenyewe.
Basi hujamiss usabato, ungesharejea kundini.Hapana..haina shida kwangu...!