Was Magufuli the best choice?

Baada ya Raisi Magufuli kuapishwa, alichukua muda mrefu sana kuteua na kukamilisha baraza lake LA Mawaziri mpaka wananchi wakawa wanajiuliza kulikoni jibu ni kuwa alikuwa anaangalia USO wa mbunge was CCM mmojammoja na wanachama nje ya bunge. Wateule wa namna hii huwa siyo watendaji wazuri wa kazi kwa sababu ya kukosa ujuzi kwa huyo kazi yao itakuwa kudumisha uhusiano wao na aliyewateua. Sura za wateule hawa pia huangaliwa zimetoka wapi na ikichunguzwa sana hata zinaabudu wapi. Katika ajira ya namna hiyo hata uamuzi wa kutengua au kutumbua watumishi hao huwa mgumu sana kwa sababu tena aliyewateua lazima awaangalie usoni. Hata kwenye maisha ya kawaida ukiajiri ndugu,rafiki, mjomba, au swaiba wako hata akitenda kosa la jinai hata mahakamani huwezi kumshitaki utabaki unalaani tu
 
Hayo yote inabidi yafanywe kwa kufuata sheria sasa jitu hili halifati sheria wala katiba lazima akataliwe tu ukizingatia...Hashim Rungwee Spuuundaa amepata kuura 0.04%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…