Was Commander Barlow assassinated?

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,068
Reaction score
2,225
tutasikia mengi juu ya tukio hili.

source ;the citizen
 
mara alikuwa kwenye toyota hilux,mara alikuwa kwenye Rav 4.
 
Kuna mtu huko Mwanza anaitwa Gachuma,huyo hata crimininals wanamwabudu.
Ni mjumbe wa nec ya ccm toka mkoa wa Mara na ndiye king makers wa ccm lake zone , hivi majuzi kawaambia vijana wavute bangi ili ccm ishinde 2015. Huyo ndie Mwita gachuma akiamua anakuondoa duniani Muda wowote, nahisi anamiliki jeshi lake la Siri
 
Niliwahi kusafiri Mwanza miaka ya nyuma late 1990's,na niligunduwa hilo,criminals walikuwa wakimwabudu kama God Father wao,sasa nimeshangazwa sana kusikia eti ni mtopu wa ccm.Kama kuna mtu anaweza kuwasaidia kumjuwa aliyemwua huyo kamanda,basi ni huyo Gachuma,huyo anaheshimika huko kuliko hata rais wa nchi.Tena especially na criminals.
 
Ni mjumbe wa nec ya ccm toka mkoa wa Mara na ndiye king makers wa ccm lake zone , hivi majuzi kawaambia vijana wavute bangi ili ccm ishinde 2015. Huyo ndie Mwita gachuma akiamua anakuondoa duniani Muda wowote, nahisi anamiliki jeshi lake la Siri
ndo maana waovu wanapenda kujificha ndani ya ccm!
 
shuhuda amesema dada alimpigia simu kumweleza 'anakuja na MGENI anayetaka kupafahamu anapokaa'. Hii inafuta kabisa hadithi ya 'marehemu alikuwa anamrejesha dada yake nyumbani'
Nadhani kuna kundi fulani hapa TZ linadhani waTZ bado ni walewale wa 90s. Kuna mshangao mkubwa unakuja
 
Ukweli husema:

Busara na hekima zinatuasa kuwa, unapokuwa kwenye mapambano, lazima akili kwa muda wote zifanye kazi ya kimapambano.

To fight criminal you have to act first like a criminal. To cheat, you have to act like a cheater.

Ni huzuni na masikitiko kama chanzo cha Mauwaji ni kutokana na yale aliyokuwa akiyafanya kupambana na ujangili, lakini vilevile ni kosa kuu pale unapokuwa kwenye mapambano na akajisahau kama ni mpambanaji na kama alikuwa ana mama wa pembeni, basi alipaswa ajue njia mbadala.

It's too late but he should have known better.
 
Endeleeni kuzunguka mbuyu, wakati ukweli uko wazi.
 
majuto mjukuu wahenga walishanena!
 
Ni mjumbe wa nec ya ccm toka mkoa wa Mara na ndiye king makers wa ccm lake zone , hivi majuzi kawaambia vijana wavute bangi ili ccm ishinde 2015. Huyo ndie Mwita gachuma akiamua anakuondoa duniani Muda wowote, nahisi anamiliki jeshi lake la Siri

ana kijana wake anaitwa Zacharia, mmiliki wa mabasi ya zacharia trans, jambazi mkuu wa mgodi wa north mara na tarime yote. Hawa jamaa ukiwa kanda ya ziwa usiwaguse. Ndie huyu gachuma na wenzie wamemjengea hekalu mkuu wa kaya capripoint kama zawadi mambo yao yaendelee. Hapa nawataja kina la kairo, kitano etc. Yan kuna tycoon wa kikurya wamezaliwa mwanza na wapo kuchuma hela, kwa namna yoy6te ile iwe halali au haramu
 
Inaelekea huyo mpwawe Dorothy hakumfahamu "mgeni". Na kwamba hakuwahi kufika kwao kabla, siku hiyo ndiyo alikuwa anakuja kupafahamu nyumbani. Na mkuu wa mkoa katika kuelezea kwenye TV ametumia neno "dada" akichora alama za quotation hewani kwa mikono yake. Jumlisha na kwamba marehemu kamanda alitaka kutumia radio call kuwadhihirishia wavamizi yeye ni nani, ndipo wakamuwahi na risasi. Jibu lake?
 
Ya this was my first thought when i had about the death hizo za Doro kuwepo naye ni mask wanaoijua Mwanza wanajua watu was going there hadi kumita Gadafi course he was not ready to side with criminals.RIP Commender
 
Msizunguke ukweli ni kwamba alitoka kuvunja mifupa na mtenda utendewa over,rest in hell kamanda
 
Gachuma na zakaria ni watu hatari sana sana,wote wamevaa kofia ya ccm kuficha unyama wanaoufanya,gachuma na zakaria mwz mpaka mara wanauwezo wakufanya wapendavyo biashara zooote haramu lazima zipate mkono wao na ukizingua wanauwezo wakukutoa roho kwa sekunde,mabasi ya zakaria kutupwa nje ya basi labda kwa kupungukiwa nauli lilikua jambo lakawaida na ameua wengi kwa mtindo huo,kumwagiwa tindi kali jamani nakumbuka moja kuna kijana wakiluo alipungukiwa na nauli maeneo ya magu kuingia serengeti yule kijana alirushwa nje na shati yake ikawa imebanwa na mlango burutwa maiti nyama zikawa zimebaki barabarani tokea magu hadi maeneo ya bunda mwisho walienda kuzika kichwa 2,hakika hawa jamaa ni hatari.
 
ndo maana waovu wanapenda kujificha ndani ya ccm!
Huko kwetu kuna jamaa ni diwani wa kata fulani na ana pesa kama serikali. ni mtu hatari. jambazi, muhujumu ... mbali na kuwa na shule ndogo diwani huyo kwenyw Almashauri ya Wilaya Muleba kupitia CCM ameongeza umasini kwa watanzania kwa kuwaibia mifugo na kuichanganya kwake. Pia humiliki biashara ya samaki na dagaa. Wavuvi wamezamishwa sana. Kwakifupi kamanda kauliwa kwa issue za kisiasa na CCM wanajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…