Warusi wazidi kupokea kichapo huko Bakhumut

kp kipanya44

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2022
Posts
13,141
Reaction score
15,381
Kama ilivyo kawaida kwa kiongozi wa Wagner Group kujitokeza hadharani na kudai mambo yasiyoyokuwa na uhalisia, mara hii Tena ameweza kujitokeza hadharani na kudai hadharani kwamba wafungwa wa kuokoteza magerzani wanaounda kundi la mamluki wa Wagner wameiteka bakhumut.

Matamshi haya kutoka Kwa mkuu huyu anayetajwa kuwa na matatizo ya akili,yameonekana kuwa na lengo la kuongeza molari kwa askari wa urusi wanaoonekana Kuchoka sana kutokana na mkong'oto wanaotembezewa, lakini kiuhalisia bakhumut inabaki kuwa fupa gumu huku ikiendelea kunywa damu za askari warusi wengi.

Ukrainian warriors are advancing on the flanks in the suburbs of the Donetsk region’s Bakhmut and are close to tactically encircling the city.

The relevant statement was made by Commander of the Ground Forces of the Armed Forces of Ukraine, Colonel General Oleksandr Syrskyi, an Ukrinform correspondent reports, referring to Military Media Center.

According to Syrskyi, Ukrainian forces are now controlling a small part of Bakhmut, but its defense is very important, as this allows them to enter the city immediately as the situation changes.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Vita inapigwa kwenye huo Mji balaa tofauti na matangazo ya Viongozi wao tutapata majibu halisi karibuni tuu...
 
BAada ya kauli hii “You have to understand, there is nothing on this space, just ground and a lot of dead Russians.”

Ikumbukwe, mji huo uliosambaratishwa, zamani ulikua ni makaazi ya watu 80,000.

Sasa hivi hakuna raia Bakhmut, hivyo wakaazi rasmi wa mji huo ni Wanajeshi wa Russia na wapiganaji wa Wagner. Wamepigania kuingia na sasa wamejaa, wameachwa wenyeww, kinachoenda kufuata ni kuokota senene
 
Mnachekesha sana, sasa badala mshinde vita mnategemea kutafsiri kila neno analosema Zele....
 
Colonel General Oleksandr Syrskyi, Commander of Ukraine’s Ground Forces, has said that the Ukrainian forces have continued defensive operations on flanks around Bakhmut. The Ukrainian army now controls the outskirts of the city.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hahaha "The Ukranian army now controls the OUTSKIRTS of the city." Unaelewa maana yake? Hehehe!
 
Nini kigumu kuelewa hapo, wewe ndiye ukahudhurie darasa la kingereza, kwa kifupi ni kwamba Ukraine hawapo maeneo ya Posta....
 
Hahaha "The Ukranian army now controls the OUTSKIRTS of the city." Unaelewa maana yake? Hehehe!
Si tulikubaliana kwamba urusi kateka eneo lote la bakhumut, Sasa mapigano hapo bakhumut yanatoka wapi

Na baada ya urusi kuiteka bakhumut kaelekea sehemu gani

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Si tulikubaliana kwamba urusi kateka eneo lote la bakhumut, Sasa mapigano hapo bakhumut yanatoka wapi

Na baada ya urusi kuiteka bakhumut kaelekea sehemu gani

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Nimekumbuka Putin alipolipongeza jeshi lake kuteka kherson na kharkiv, miezi michache baadae wakafurushwa
 
Russia akiteka hayo maeneo halafu amani iwepo kusiwe tena na milio ya risasi ndio nitaamini kwamba kweli wameshinda lkn kwa hali kama hii iliyopo, hamna kitu ni porojo tu.
 
Back
Top Bottom