Mr possibility Senior Member Joined Mar 19, 2020 Posts 175 Reaction score 134 Jun 26, 2020 #1 Mimi:mambo mrembo Mrembo;poa mimi;Nimeona kuna sehemu umechangia binafsi nimetokea kukuelewa,upo vizuri Mrembo;mmh ahsante Mimi;yap, unaishi pande za wapi ? mrembo;mologolo Hadi sasa nimegoogle lakini wapi...😟
Mimi:mambo mrembo Mrembo;poa mimi;Nimeona kuna sehemu umechangia binafsi nimetokea kukuelewa,upo vizuri Mrembo;mmh ahsante Mimi;yap, unaishi pande za wapi ? mrembo;mologolo Hadi sasa nimegoogle lakini wapi...😟
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,147 Reaction score 14,103 Jun 26, 2020 #2 We nae mpangilio wa aya majanga: Nimeona kuna sehemu umechangia binafsi nimetokea kukuelewa,upo vizuri. Sentensi kama'mama alienda sokoni kununua ndizi unaiandika, Mama alienda sokoni kununua ndizi. Ila hongera kwa mtongozo.
We nae mpangilio wa aya majanga: Nimeona kuna sehemu umechangia binafsi nimetokea kukuelewa,upo vizuri. Sentensi kama'mama alienda sokoni kununua ndizi unaiandika, Mama alienda sokoni kununua ndizi. Ila hongera kwa mtongozo.
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,796 Reaction score 40,510 Jun 26, 2020 #3 Unahangaika....
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,392 Reaction score 59,141 Jun 26, 2020 #4 Drone Camera said: We nae mpangilio wa aya majanga: Nimeona kuna sehemu umechangia binafsi nimetokea kukuelewa,upo vizuri. Sentensi kama'mama alienda sokoni kununua ndizi unaiandika, Mama alienda sokoni kununua ndizi. Ila hongera kwa mtongozo. Click to expand... Nipo nyuma yako kumpongeza mleta Uzi.
Drone Camera said: We nae mpangilio wa aya majanga: Nimeona kuna sehemu umechangia binafsi nimetokea kukuelewa,upo vizuri. Sentensi kama'mama alienda sokoni kununua ndizi unaiandika, Mama alienda sokoni kununua ndizi. Ila hongera kwa mtongozo. Click to expand... Nipo nyuma yako kumpongeza mleta Uzi.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,397 Reaction score 88,559 Jun 26, 2020 #5 Bora wewe kakuandikia mologolo wengine wanaandika mlogolo..😅
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,147 Reaction score 41,414 Jun 26, 2020 #6 Mbona mimi sipati wa kuniambia wamependa michango yangu? Maji ya bahari yananihusu .
Juakali jr JF-Expert Member Joined Aug 8, 2019 Posts 737 Reaction score 1,756 Jun 26, 2020 #7 yna2 said: Nipo nyuma yako kumpongeza mleta Uzi. Click to expand... Na mrembo mwenyewe ndo yna2
mtzmweusi JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 8,699 Reaction score 9,064 Jun 26, 2020 #8 Hannah said: Mbona mimi sipati wa kuniambia wamependa michango yangu? Maji ya bahari yananihusu . Click to expand... Nimependa hii comment yako
Hannah said: Mbona mimi sipati wa kuniambia wamependa michango yangu? Maji ya bahari yananihusu . Click to expand... Nimependa hii comment yako
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,147 Reaction score 41,414 Jun 26, 2020 #9 mtzmweusi said: Nimependa hii comment yako Click to expand... Asante sana.
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,826 Jun 26, 2020 #10 Hannah said: Mbona mimi sipati wa kuniambia wamependa michango yangu? Maji ya bahari yananihusu . Click to expand... Ati nn?
Hannah said: Mbona mimi sipati wa kuniambia wamependa michango yangu? Maji ya bahari yananihusu . Click to expand... Ati nn?
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,392 Reaction score 59,141 Jun 26, 2020 #11 Juakali jr said: Na mrembo mwenyewe ndo yna2 Click to expand... Yna2 anajua tofautisha Kati ya l na r.
Juakali jr said: Na mrembo mwenyewe ndo yna2 Click to expand... Yna2 anajua tofautisha Kati ya l na r.
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,147 Reaction score 41,414 Jun 26, 2020 #12 sumbai said: Ati nn? Click to expand... Sipati PM za pongezi kabisa.
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,168 Reaction score 28,585 Jun 26, 2020 #13 Aisee... Ngoja nisali nilale zangu
Requal JF-Expert Member Joined Jun 5, 2020 Posts 1,025 Reaction score 1,923 Jun 26, 2020 #14 Sasa wewe mmetongozana PM Huku unatuletea ya nini? Acha ushamba dogo, malizaneni hukohuko Usiweena akili za kike jombaaa.. Moderator, Paw Active nyuzi Kama hizi muwe mnafuta zinajaza server tu
Sasa wewe mmetongozana PM Huku unatuletea ya nini? Acha ushamba dogo, malizaneni hukohuko Usiweena akili za kike jombaaa.. Moderator, Paw Active nyuzi Kama hizi muwe mnafuta zinajaza server tu
Juakali jr JF-Expert Member Joined Aug 8, 2019 Posts 737 Reaction score 1,756 Jun 26, 2020 #15 yna2 said: Yna2 anajua tofautisha Kati ya l na r. Click to expand... Yna1 ndo alikua na uwezo huo, Yna2 yupo advanced r ni l kwake kabisaa
yna2 said: Yna2 anajua tofautisha Kati ya l na r. Click to expand... Yna1 ndo alikua na uwezo huo, Yna2 yupo advanced r ni l kwake kabisaa
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,928 Reaction score 92,163 Jun 26, 2020 #16 Hannah said: Mbona mimi sipati wa kuniambia wamependa michango yangu? Maji ya bahari yananihusu . Click to expand... We mko serious sana, ( natania)
Hannah said: Mbona mimi sipati wa kuniambia wamependa michango yangu? Maji ya bahari yananihusu . Click to expand... We mko serious sana, ( natania)
Mr possibility Senior Member Joined Mar 19, 2020 Posts 175 Reaction score 134 Jun 26, 2020 Thread starter #17 Hannah said: Mbona mimi sipati wa kuniambia wamependa michango yangu? Maji ya bahari yananihusu . Click to expand... Hannah binafsi nipoona komenti yako Moto wangu unaniambia kuwa wewe ndio chaguo sahihi la mtima wangu💝💝💝💞,lakini nikupatie wapi mimi nipate tulizo la Moyo wangu💘💘💘♥️♥️♥️
Hannah said: Mbona mimi sipati wa kuniambia wamependa michango yangu? Maji ya bahari yananihusu . Click to expand... Hannah binafsi nipoona komenti yako Moto wangu unaniambia kuwa wewe ndio chaguo sahihi la mtima wangu💝💝💝💞,lakini nikupatie wapi mimi nipate tulizo la Moyo wangu💘💘💘♥️♥️♥️
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,891 Reaction score 52,461 Jun 26, 2020 #18 Requal said: Sasa wewe mmetongozana PM Huku unatuletea ya nini? Acha ushamba dogo, malizaneni hukohuko Usiweena akili za kike jombaaa.. Moderator, Paw Active nyuzi Kama hizi muwe mnafuta zinajaza server tu Click to expand... Toa mfano wa akili moja ya kike iliyowahi kuleta huu utumbo humu....
Requal said: Sasa wewe mmetongozana PM Huku unatuletea ya nini? Acha ushamba dogo, malizaneni hukohuko Usiweena akili za kike jombaaa.. Moderator, Paw Active nyuzi Kama hizi muwe mnafuta zinajaza server tu Click to expand... Toa mfano wa akili moja ya kike iliyowahi kuleta huu utumbo humu....
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,928 Reaction score 92,163 Jun 26, 2020 #19 Hannah said: Sipati PM za pongezi kabisa. Click to expand... Hahahaha
Requal JF-Expert Member Joined Jun 5, 2020 Posts 1,025 Reaction score 1,923 Jun 26, 2020 #20 Hornet said: Toa mfano wa akili moja ya kike iliyowahi kuleta huru utumbo humu.... Click to expand... Mfano ni huyo mleta uzi.
Hornet said: Toa mfano wa akili moja ya kike iliyowahi kuleta huru utumbo humu.... Click to expand... Mfano ni huyo mleta uzi.