Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,148
Hapana ukutokea huko sema mgonjwa wa kwanza kupimwa alitoka huko hila mikoa ya kusini ndio hatari hii inatokana na nchi za kusini mwa Afrika kuongoza kwa ukimwi Zambia Malawi south Africa eswatin LesothoNdiko kwenye UKIMWI ulitokea nchi hii..kwa kupenda chini hawajambo
Povu ruksa
Sasa ni valid baada ya wewe kuitajaKutaja bukoba bila kutaja katerero huu uzi unakuwa Invalid
Ukija Bukoba utajionea livepila picha uzi haujakamilika mkuu
Uzi kama huu unahitaji Picha , MTU kama hujajiandaa vizuri usitume uziHapo tu ndio mnafelii, Sambusa gani haina Nyama Mzee.. Yani Umeshindwa kuweka hata viazi basi vya Njombe [emoji16][emoji16]
Habari bila picha,
We morogoro kuna nini?Katika maisha yangu yote ya kuishi miji mbalimbali...sijawahi ona mji wa watu washamba kama bukoba
Tupe picha tuhakikishe kama ni kweli
Hapo tu ndio mnafelii, Sambusa gani haina Nyama Mzee.. Yani Umeshindwa kuweka hata viazi basi vya Njombe [emoji16][emoji16]
Habari bila picha,
Kanyigo Bukoba vijijiniUzi kama huu unahitaji Picha , MTU kama hujajiandaa vizuri usitume uzi
Kanyigo kwa brother yangu long timeKanyigo Bukoba vijijiniView attachment 1132060
Huyu mbona mikono minene kuliko miguu?Kanyigo Bukoba vijijiniView attachment 1132060