Warembo single Dodoma mpo

KRS

Member
Joined
Sep 9, 2014
Posts
32
Reaction score
5
Kesho naingia dodoma,nahitaji mrembo yoyote singo aliyekamilika vizuri awe mwenyeji wangu wa kunionyesha vichochoro vyote vya dodoma tuweze kufurahi aliye serious anipm
 
una mkwanja wa kutosha au ndo unataka upelekwe vichochoron kule kwa bei rahis
 
Wakazi wa uswahilini utawajua tu kwa lugha zao.

Mtu anaingia mkoa mgeni anawaza kutembea vichochoroni tu!

Kama wewe sio kibaka....

ukiwa mshamba utakuwa na majibu kama haya shukuru udsm ungekuwa bado kwenu shamba ushuani usingekujua
 
Kesho naingia dodoma,nahitaji mrembo yoyote singo aliyekamilika vizuri awe mwenyeji wangu wa kunionyesha vichochoro vyote vya dodoma tuweze kufurahi aliye serious anipm

vichochoro wapi?sema tu unataka kugegeda mkuu
 
karibu sana nko tayar bt uwe na mkwanja wa kutosha.mji wa kibunge huu kila kitu bei juu....
 
ukikosa nishtue nikupeleke mitaa ya chako ni chako ukakamate fulsa
 
wapo busy na wajumbe wa bunge maalumu, labda upande dau!!!
 
karibu upo full lakini? au ndo wataka kula bata kwa m-pesa??
 
karibu sana nko tayar bt uwe na mkwanja wa kutosha.mji wa kibunge huu kila kitu bei juu....

Acha kamba ,,,,,,kuku na ndizi choma bei rahisi sana bila kusahau usafiri ni bei rahisi sana kuanzia tax mpaka bajaji.
Mpeleke kijana sehemu mbalimbali
Usisahau kumshusha pale kito kwa masawe awakatie nyama choma safi ya kwapa au masingiri,,,, mwambieni dokta amewaagiza mpeni salamu zangu.
 
Ila kumbuka uwe full kombati maana huku kuna madege ya jeshi kibao
 

hahahaaaaa daaaaa jf inanipa raha mimi duuu uko mwenyej sana pande hizo eeee
 

usijali kito ntampeleka .bila kusahau msalato a.k.a mnadani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…