nenda ng'ox ugonge freelySio siri nimetembelea kwenu jana usiku pale Alfa Cafeteria na nilichokiona sikuamini macho yangu kabisa.
Kijana wa INFORMATICS nikajikuta nipo chumba cha mamba wa mapenzi.
Hakika mmeumbika sana
Wewe dada uliyekuwa kwenye foleni ya chips yai mida ya saa 21:20 uliyevaa suruali nyeusi na prova ya damu ya mzee huku ukiwa umesuka rasta na kiuno kilichobenuka kwa nyuma kuashiria kuna kitu kimefichwa sirini kama upo humu naomba maana nakutafuta sana hadi nimekuoa.
Hakika mabinti wako Humanities
Deadbody
Nikitoka TMT class kesho mida ya saa 7 mchana nitarudi tena nikiwa na hela za kutosha
Hahahah mkuu hapo nilishawapita miaka hiyo labda umwambie Prof Mvuma au Prof Anatory ,au mwambie Pasco
Ada napewa na HESLB
Nisome nini mkuu?
Sio siri nimetembelea kwenu jana usiku pale Alfa Cafeteria na nilichokiona sikuamini macho yangu kabisa.