Warembo Humanities UDOM mtanimalizia muwe na huruma na BOOM langu

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,276
6,583
Sio siri nimetembelea kwenu jana usiku pale Alfa Cafeteria na nilichokiona sikuamini macho yangu kabisa.

Kijana wa INFORMATICS nikajikuta nipo chumba cha mamba wa mapenzi.

Hakika mmeumbika sana

Wewe dada uliyekuwa kwenye foleni ya chips yai mida ya saa 21:20 uliyevaa suruali nyeusi na prova ya damu ya mzee huku ukiwa umesuka rasta na kiuno kilichobenuka kwa nyuma kuashiria kuna kitu kimefichwa sirini kama upo humu naomba maana nakutafuta sana hadi nimekuoa.

Hakika mabinti wako Humanities

Deadbody

Nikitoka TMT class kesho mida ya saa 7 mchana nitarudi tena nikiwa na hela za kutosha
 
nenda ng'ox ugonge freely
 
Pole sana
 
Mi nilikuwa Education hapo ila kwa jinsi navyoujua msuli wa CIVE, na kwa jinsi wanavyodisco hadi mwaka wa mwisho BASI nina wasiwasi hutamaliza chuo salama. Ikiwa unaamua kurudi Humanities kisa mdada???
 
Hata ng'ox hakuna cha bure!
Cha msingi acha tamaa, hawa watu wapo tu!
Halaf na walimu wetu nao wanamuona!
Sasa usijesababisha wewe ukaondoka kabla ya kilichokuleta ukamuacha huyo mamba wa mapenzi ambae tayari ameshasomewa mwenzio!
Soma upate kazi kijana, wapo wazuri zaidi kama utakuwa kazini!
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom