Waraka wangu kwa Wabunge CHADEMA

Hawa CCM wamekuwa kama watoto wa miaka 10 huku wanafikiri kama watoto wa miaka miwili
ina maana hawajui kwamba huo usumbufu wanaowapa hao makamanda
ndio walimpa DR SLAA na wakasababisha UMA wooooote wa watanzania uanze kumsikiliza
na hatimaye wakagundua kwamba ndio mkombozi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…