Waraka wa Godbless Lema kwa umma

Yaani huyu jamaa mbinu za kushawishi watu kujitegemea, kuunda vikundi vya kujiajiri na kujiletea maendeleo hana, zaidi ni kuhimiza wafanye uhalifu waende jela.

WARAKA.........nikajua anakuja kutuambia amesimamia vikundi mia tano vya vijana, wamepata mitaji na sasa wamejiajiri.....kumbe......

Na watu wa Arusha sijui huwa mnalogwa na nani kuongozwa na vilaza wasiojitambua.
 
Watoto wetu wataendelea kufagia maofisi kwa elimu hizo za kata!! Mkuu Lema utaeleweka kwa wenye kuteseka na hii CCM!!
 
Lema utabaki kuwa Lema, najua CCM wanakuogopa na wanachechemea na kuchuchumaa popote pale wanapoujua uhai wako. Najua wanatamani laiti kama leo ungelifariki, Nami ninakuombea kwa Mungu upate kuishi maisha marefu zaidi ya aliyoishi Kingunge na Lowasa upate kuwapa watu uwezo wa kujitambua na kuitambua serikali.
"Na watambue kuwa ni afadhali vita inayotafuta haki na usawa kuliko amani inayopumbaza na kudhalilisha utu wa mwanadamu,Watakaotubeza na kututukana wasameheni kwani wanahitaji ukombozi wa fikra, watakaotupongeza na kutuonea huruma wafundisheni ujasiri na waambieni mapambano bado yanaendelea tunahitaji umoja wao. NIliposikia wengine wanaandamana kupinga uovu, uonevu, wizi, ufisadi na ukandamizaji wa haki nikasema ni hao na wala sio mimi, kumbe nilipaswa kuwa mbele katika harakati hizi.
Nilipoona wenzangu hawawezi kupata matibabu nikasema mimi sio mgonjwa, nilipopata taarifa za rafiki zangu kufungwa kwa makosa yasiyo yao, nilipoona watoto wa mitaani wanaomba chakula, nilipoona wazee
wamepoteza matumaini ya kuishi katika uzee wao, nilipoona vijana hawana ajira, nilipoona mabinti wasichana wadogo wameamua kufanya biashara ya ukahaba, NIKATAFAKARI,TENA NIKATAFAKARI, dhahabu zetu, almasi yetu, Milima na mabonde yetu, Tanzaninte yetu, samaki wetu, Uranium yetu, makaa ya mawe yetu, utalii wetu, ardhi na kilimo chetu na zaidi utu na mahusiano yetu."

Laiti Zitto,Kafulila,Mkosamali,Machali,Silinde,Nassari,Sugu na Mnyika wangeweza kutoa speach kama hizi na kuziishi kama Lema, Tanzania tunayoihitaji ingepatikana........Wasi wasi wangu ni kwamba hakuna tofauti ya Vijana hawa na kijana yule aliyejiita Dokta akawa Amani Kabour........ Tujipe muda kuona watu wakipewa ubunge wa Afrika Mashariki km si uwaziri wa kuhongwa.....

Aluta contin
 

watakuwa wamelogwa na mzee mtei!
 
doh, akili nyingine zinawatosha watu wenyewe, ningepewa mimi hizi ningekua nauza maji tu na si kazi kama hii ya kuwawakilisha wananchi ni hatari, sasa huko jela ndio kuna patikana anavyovitafuta??
 
kwani ni uongo? mbona hapa arusha kila mtu anajua kuwa LEMA ni mgonjwa?

Kama mnajua hivyo na sisi tunaamini kama Lema anaumwa Atakuwa kadhuliwa kwa sumu katika Mahabusu alizokuwa akiwekwa kwa amri za CCM.
 
Lema utabaki kuwa lema hata mwigulu anajua wtz wanavyonyanyasika wazee,watoto,wajawazito wanayokosa huduma hospt hp tz
 
Amesha sahau alichofanyiwa na watoto wa kiswahili????????????!!!!

Wewe Layioni mbona unakuaga na Minyege sana??? Siku Lema amekugeuza na kukubandua hiyo Ngogwe ndio siku hiyo utajua kuwa hakuna cha watoto wa Kiswahili wala cha watoto wa Kimasai km wewe!! Tulizaga hiyo Ngogwe chini km inakuwasha!!!
 
Wewe Layioni mbona unakuaga na Minyege sana??? Siku Lema amekugeuza na kukubandua hiyo Ngogwe ndio siku hiyo utajua kuwa hakuna cha watoto wa Kiswahili wala cha watoto wa Kimasai km wewe!! Tulizaga hiyo Ngogwe chini km inakuwasha!!!

Nimependa hii "ngogwe" bwa ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…