Ndugu wanachadema wenzangu tuna kazi mbili muhimu baada ya uchaguzi; kwanza kukirudisha chama kwa wananchi kutoka kwa mafisadi,pili kuhuisha misingi ya maadili ya uongozi
Wew naye hujitambua nani alikuaminisha chama ni cha wanachadema wakati watu wanajua kile ni kitega uchumi cha watu fuluni ,wew thubuttu kutia neno uone utakavyopelekwa mkuku ,kuwa UMENUNULIWA
Ndugu wanachadema wenzangu tuna kazi mbili muhimu baada ya uchaguzi; kwanza kukirudisha chama kwa wananchi kutoka kwa mafisadi,pili kuhuisha misingi ya maadili ya uongozi
Ndugu wanachadema wenzangu tuna kazi mbili muhimu baada ya uchaguzi; kwanza kukirudisha chama kwa wananchi kutoka kwa mafisadi,pili kuhuisha misingi ya maadili ya uongozi
ccm kifo chake kingekuwa rahisi kama tungewaachia mgogoro wao,kwa sasa hali ni tofauti saana tumechukua baadhi ya waasisi wa matatizo ya ccm na kuwafanya nguzo ya vyama vya upinzani,ikumbukwe tatizo kubwa la ccm, sijui ni kuanzia lini,lilikuwa ni wanamtandao,wamesalitiana wametawanyika wapo ukawa wapo ccm tumekwisha.
nani ni tumaini jipya chama gani ni tumaini jipya,napata shida kupata majibu.
Wenye hamasa mehemko leteni majibu mepesi na ya haraka, lakini wenye kutafakari fikirini leteni majibu yenye hoja.