mpaka 19/03/2016 natoka uku maana kila nikipita maeneo ya malindi.mjimkongwe mambo yanayojadiliwa uko si ya kitotoPicha ndio kwanza linaanza hapo,mwenye ndugu Zanzibar amshauri atoke huko upesi sana.
View attachment 322421
Waraka huu unaosambaa kwenye Mitandao ya Kijamii,Serikali haitakiw kuupuza!
Wacha tuone mwisho wa sakata hili!