Wapinzani, wote mliowalalamikia wanaifilisi nchi ndio mnawatetea

xav bero

JF-Expert Member
Nov 24, 2016
5,134
7,324
Wapinzani wa nchi,,,mmeiksoa sana na mnazid kuikosoa serikali pale inapoenda kinyume,kuanzia bungeni mpka uraiani... Hongereni

HIV mmeshajitambua kama nguvu zenu ni kuitoa ccm madarakan je mtafit kuongoza nchi hii? Kwel kabisa mnauwezo wa kuunda serikali au mtaunda ya umoja wa kitaifa na kuwachanganya na wanaccm pamoja?

Je hamtaweza kugeuka ahad zenu zote mtakazotoa kwenye kampen kama mnavyogeuka kipindi hiki kwenye kauli zenu? Maana mmegeuka kila kitu mlichotuaminisha mwanzo,,,,

Wote mliowalalamikia wanaifilisi nchi wte mnawatetea sasa, mlituaminisha rais anatumia ilan yenu lakin leo mmegeuka, mlituambia hii nchi inahitaji MTU dikteta kidgo lakin Leo mnamlalamikia,kipi kizur ambacho hamtageuka ili kuwaaminisha watanzania 2020.....

Nadhan nguvu nyingi mngezielekeza kutogeuka matamshi yenu kuanzia sasa kulko kufikiria kuitoa ccm madarakan...
 
unajisikiaje kujndilka pumba kama hii siku nzima hakuna anayejibu.kukutoa aibu nachangia kuwa umechemka
 
unajisikiaje kujndilka pumba kama hii siku nzima hakuna anayejibu.kukutoa aibu nachangia kuwa umechemka
Siangalii kuchangia Ila muhim umeisoma ,,,ukiona umekua bubu ujue imekuingia Barbara sasa unatafakar na kujisemea lakin kwel,,, na ndio kawaida ya sindano inazama piiiiiiiiiii unabak mmmh mmmh
 
Back
Top Bottom