mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Nionavyo kama wote wamesalimu amri na kazi wanayoifanya ni kama kuifanya Serikali iliyopo Madarakani kuwa bora na Imara zaidi.
Ukosoaji mwingi unapojibiwa unawafanya kufifia na watawala kunawiri.
Leo tumefikia hadi wabunge wa chama tawala kuwa maarufu na Hoja zenye akili za ukosoaji kuliko hata wapinzani tuliowazoea.
Akiibuka mgombea "elimu, elimu, elimu" ataibuka kulalamikia mambo madogomadogo ambayo mvuto wake haudumu zaidi ya 24HRS.
Wapinzani mnamjenga nani afae kuufanya uchaguzi ujao kuwa motomoto?
Najaribu kuwaza baada ya kuona ongezeko la ombwe upinzani kadili tunapoikaribia 2020.