desertfox
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 347
- 244
Habari wanajamvi.
Nini maoni yako kuhusu uchaguzi mdogo wa wabunge majimbo ya Kinondoni na Siha? Je wapinzani wanadi sera ipi ili kupigiwa kura na wapigakura?
Binafsi yangu naona baadh ya sera au hoja zitawavuta wananchi:-
> Hali ya uchumi wa wananchi hapa watumie nukuu ya Mwl "Uchumi wa kweli ni uchumi wa watu sio uchumi wa vitu"
> Uhuru wa jamii husika ikiwemo kutoa maoni kukosoa muenendo wa viongoz n.k.
> Upatikanaji wa huduma za kijamii hasa afya
> Uimarishwaji wa uchumi hasa mzunguko wa pesa
> Upatikanaji wa ajira hasa kwa watoto maskini
NB: Watumie ahadi za Mkulu alizozitoa kwenye kampeni na hali ilivo sasa.
Karibuni