Wapinzani wana maana gani katika hili?

Wapinzani wana maana gani katika hili?

Mzee Mwenzangu

Senior Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
190
Reaction score
168
Kwa wenye uelewa naomba wanidadavulie hili maana huwa sipati picha.
Wakati wa chaguzi (hasa hizi ndogo)huwa nasikia malalamiko kutoka vyama vya upinzani inatakiwa kuboresha daftari la wapiga kula ili waweze kushinda. Haya sijawahi kuyasikia ccm.
Je wapigakula vijana, nikimaanisha waliokuwa chini ya miaka 18 ktk uchaguzi wa mara ya mwisho wote huwa ni wapinzani?
Je hawa wasio na uwezo wa kupiga kura kwa sababu kama za ugonjwa, safari na majukumu mengine huwa wote ni wapinzani?
Je wanatangulia mbele ya haki wote huwa ni wapinzani.
Naomba tena mwenye uelewa afafanue, maana hii inawaathili wapinzani pekee.

Karibuni tuelimishane.
 
umri wangu miaka 36 nilipoteza kadi ya kupigia kura mwezi wa 10mwaka 2010 atakayepigania kuboresha daftari namkubali
 
Kwa wenye uelewa naomba wanidadavulie hili maana huwa sipati picha.
Wakati wa chaguzi (hasa hizi ndogo)huwa nasikia malalamiko kutoka vyama vya upinzani inatakiwa kuboresha daftari la wapiga kula ili waweze kushinda. Haya sijawahi kuyasikia ccm.
Je wapigakula vijana, nikimaanisha waliokuwa chini ya miaka 18 ktk uchaguzi wa mara ya mwisho wote huwa ni wapinzani?
Je hawa wasio na uwezo wa kupiga kura kwa sababu kama za ugonjwa, safari na majukumu mengine huwa wote ni wapinzani?
Je wanatangulia mbele ya haki wote huwa ni wapinzani.
Naomba tena mwenye uelewa afafanue, maana hii inawaathili wapinzani pekee.

Karibuni tuelimishane.
mkuu ni kweli huwezi kuelewa lakini cdm au wapinzani wanaposena daftari liboreshwe si kwamba watakaojiandikisha ni wapinzani tu bali wanataka kila raiya apate haki yake kikatiba bila kujali ni wachama gani
NB Wapinzani hatutetei wapinzani tu tunatetea wananchi wote
 
kaka nimekuelewa kwa hilo, lakini chaweza kuwa sababu na kisingizio cha kushindwa katika chaguzi ndogo na chaguzi nyingine kwa ujumla?
Sina uhakika kama tume ya uchaguzi ina ratiba ya kuboresha daftari, kama sivyo kwa nini wahusika wasitunge sheria kulingana na mahitaji ili kuwe na ratiba na bajeti ya kitu kama hicho kuliko kuendelea kulalamika zinapojitokeza chaguzi?
 
Back
Top Bottom