Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
GRUPO Desportivo Sagrada Esperança ya Angola, wapinzani wa Yanga katika raundi ya tatu ya Kombe la Shirikisho, jana walibanwa mbavu baada ya kulazimishwa sare tasa na wenyeji Futebol Clube Desportivo 4 de Abril mjini Menongue katika Jimbo la Cuando Cubango.
Matokeo ya mchezo huo wa raundi ya...
Kwa habari zaidi, soma hapa => Wapinzani wa Yanga Kombe la Shirikisho wabanwa mbavu Angola | Fikra Pevu