kuna mambo mengine yanachekesha, mengine yanaonesha picha halisi kuwa hawa ndugu zetu WA upinzani hawajui wanacho kisimamia.
Hawana uelekeo wala dira, ni watu WA kuvizia Serikali imefanya nini, ili wapinge!!!
Walimtuhumu sana Mh. Nappe kuwa kaminya bunge live!! Kejeli, lugha chafu na majungu walitupwa juu yake.
Leo Rais ameamua kumpumzisha Nape, lakini bado wana mlaumu tena!
Hao hao walituaminisha kuwa Lowassa ni fisadi, Leo hii wanae na wanamsifia kuwa MTU safi!!
Hao hao walituaminisha kuwa Magufuli anatekeleza Ilani ya Upinzani, walio yakemea ndio anayatatua , sasa miaka miwili haijaisha wameanza kumnanga, kumuita majina yasiyofaa!!
Walimuita Mzee Kikwete dhaifu, tena bungeni,Leo amekuja imara hawamtaki pia!!
MAONI YANGU
Hata ningekuwa Rais Leo siwezi fuata ushauri wa watu wasiotambua wana toka wapi, wako wapi na wanaenda wapi. Tumshauri Rais mambo yatakayo leta dira na uelekeo MZIMA WA taifa letu. Sio kila siku kuishi kwa kuvizia matikio.
MF. Walio kosa mikopo elimu ya juu, nini kifanyike wapate?
Watumishi WA umma walio ongezewa Riba kwenye mikopo yao ya Lian board nini kifanyike? NI sawa kisheria?
Bunge mbona halioneshwi live?
TBC mbona haitumiwi na vigogo kutolea matamko? Badala yake wanakwenda...?
TUWE NA MJADALA WA KITAIFA SIO KUJADILI MTU, HATA LEO MAKONDA KWA MFANO AKIONDOLEWA UTANUFAIKA NINI WEWE UNAEKATWA NA BODI 15% ITAPUNGUA?