Wapinzani tz wataweza kuing'oa ccm

mdau wetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
548
Reaction score
62
Hivi Tanzania kuna siku wapinzani wataweza kuung'oa madarakani utawala wa CCM na Watanzania kuongozwa na upinzani kama ilivyotokea Zambia, Senegal na kwingineko? Tatizo la vyama vya upinzani ni nini? kwa nini hawaungani? ndoto za wapinzani kuongoza Tanzania zitatimia au zitaendelea kuwa za alinacha? au ndio itakuwa mara hii CHADEMA ndio wenye nguvu, baada ya miaka mitano CUF baada ya miaka mingine mitano NCCR na kadhalika?
 
Hakuna lisilowezekana. CCM haikuandkiwa kutawala Tanzania milele, kuondoka madarakani wataondoka tu, ni suala la muda tu
 
Mungu peke ake ndiye atakaeing'oa magamba madarakani watanzania 2nateseka sana,kama kuna m2 anaebisha atembelee 2hosptal za serikal aone mambo jaman?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…