Wapigwe tu, yageukia Askari polisi. Mmoja atolewa jicho

Mapolomoko

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
1,751
417
Asikari polisi wa Biharamulo Kagera jumapili ya talehe 26, amepata kipo cha mbwa mwizi kutoka kwa asikari wa JWTZ Biharamulo. ilikuwa hivi. mnamo saa saba usiku wakiwa doria, walienda kufunga disiko Robart Hotel. na kuwakuta njagu. ndipo ukatokea
 
Sasa hawa ni wenyewe kwa wenyewe walioruhusiwa kupiga, sijui hap PM atasemaje tena.
 
Ngoja na PM atapigwa tu kwani malipo ni hapa hapa duniani. Nani alijua kuwa ipo siku Baba Hussein angepigwa kibao kule Diamond Jubilee.? What comes around goes around.
 
Asikari polisi wa Biharamulo Kagera jumapili ya talehe 26, amepata kipo cha mbwa mwizi kutoka kwa asikari wa JWTZ Biharamulo. ilikuwa hivi. mnamo saa saba usiku wakiwa doria, walienda kufunga disiko Robart Hotel. na kuwakuta njagu. ndipo ukatokea

Disiko ni nini mkuu?
 
Na wewe sijui unaharaka gani umeandika utafikili unawahi Ruziba.
 
Ngoja na PM atapigwa tu kwani malipo ni hapa hapa duniani. Nani alijua kuwa ipo siku Baba Hussein angepigwa kibao kule Diamond Jubilee.? What comes around goes around.

Nani alijua mheshimiwa HK angetiwa pingu kama jambazi?
 
Yani nikisikia hawa policcm wamechezeshwa kichapo huwa naagiza kinana bariiidii..!!safi jeshi la wananchi wa tz
 
huyu mweka banduko ni form 4 div 5 kabisa.yaan bila chenga...maneno kama asikari,disiko,kipo....mi naona ni mtu ambaye hata lugha inamsumbua
 
hao hasikari wa jeshi la polisi hawana adabu, walitukuta tunakula raha wakaona wivu eti wanataka kuwachukua wake zetu kwa lengo la katerero! wakaanza kuchapa bakora ili tukimbie , sasa kumbe JWTZ walukuwemo nao wakajibu kwa kuwazaba vibao za nguvu. big up JWTZ, shenzi nyinyi polisi.
 
uchochez at work
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom